Wanakera sanaWapumbavu hawa ,huo muda wa kufanya press conference za kijinga kama hizi huwa wanaupata wapi ,badala ya kuwekeza akili ,juhudi na resources katika kuongeza ufanisi kwenye mifumo yao na kuondoa madhaifu ?
Taasisi nyingi za serikali ya Tz ni takataka sana , no wonder , always wakifanyiwa auditing ni failure +++ ina kuwa revealed .
Majitu yanashindwa kufanya kazi kila siku press conference za kipuuzi kucover weakness
Ah, watoe pdf tu, press za nn?!Psrs wameandaa press conference kesho tar 15,tutawasikia wanavyojinadi
Kwenye mafanikio yao wasisahau kusema kuwa wamefanikiwa kuchelewesha placement than ever before!Psrs wameandaa press conference kesho tar 15,tutawasikia wanavyojinadi
Hili ndio la msingi, nmeona taarifa ya juzi ya tanapa watu wamewafanyia usaili toka oct mwaka jana unakuja kuwapanga kazi baada ya miezi 7, inashangaza sana, wafanyie kazi hayo mapungufu wana watesa sana vijanaAh, watoe pdf tu, press za nn?!
upuuzi na uchawa tu hamna kazi wanayofanyaPsrs wameandaa press conference kesho tar 15,tutawasikia wanavyojinadi
Kwa uwazi upo sahihi sana kuna tasisi ukienda kwenye interview ni majanga tu yaani unajuona ushafeli tayari angalau PSRS wanajitahidi sana na bora zaidi ajira zote za serikali zingepitia kwaoMimi nawapongeza, wanajitahidi kuweka uwazi, naomba tu taasisi zote zipitie PSRS ili placement ziongezeke
Jobless wenzangu tuombe taasisi zote zipitie PSRS..uhakika wa kulamba asali og unakuwepoKwa uwazi upo sahihi sana kuna tasisi ukienda kwenye interview ni majanga tu yaani unajuona ushafeli tayari angalau PSRS wanajitahidi sana na bora zaidi ajira zote za serikali zingepitia kwao
Tuombe wapi?Jobless wenzangu tuombe taasisi zote zipitie PSRS..uhakika wa kulamba asali og unakuwepo
Hakuna jipya ni yale yale tuWakuu mliofanikiwa kusikiliza press conference ya Leo PSRS mrejesho vipi uko wameeleweka?
Leo wanawez tupia kipdf cha mchongokimebaki cha tanapa π€£ π€£
watakua wamefanya la maana aisee ifike mahali wazionee huruma simu zetu..Leo wanawez tupia kipdf cha mchongo
π π π π , Sim zmefanyajwatakua wamefanya la maana aisee ifike mahali wazionee huruma simu zetu..
simu zinachemka kila saa kuingia kwenye web yao..π π π π , Sim zmefanyaj