Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wapumbavu hawa ,huo muda wa kufanya press conference za kijinga kama hizi huwa wanaupata wapi ,badala ya kuwekeza akili ,juhudi na resources katika kuongeza ufanisi kwenye mifumo yao na kuondoa madhaifu ?
Taasisi nyingi za serikali ya Tz ni takataka sana , no wonder , always wakifanyiwa auditing ni failure +++ ina kuwa revealed .
Majitu yanashindwa kufanya kazi kila siku press conference za kipuuzi kucover weakness
Wanakera sana
 
Psrs wameandaa press conference kesho tar 15,tutawasikia wanavyojinadi
Kwenye mafanikio yao wasisahau kusema kuwa wamefanikiwa kuchelewesha placement than ever before!
Watu tumefanya oral mwezi wa 9 mwaka jana mpaka leo hawajaita hata mtu mmoja! Hawa jamaa wamewahi waza hali tunayopitia majobless kisaikolojia? Waone aibu kwakweli
 
Mimi nawapongeza, wanajitahidi kuweka uwazi, naomba tu taasisi zote zipitie PSRS ili placement ziongezeke
 
Tutegemee Leo kwenye iyo press conference Yao waliongelee Ilo kwanini unachukua Mda Sana tatizo NI nini haswaa wanapoteza mvuto sasa
 
Mimi nawapongeza, wanajitahidi kuweka uwazi, naomba tu taasisi zote zipitie PSRS ili placement ziongezeke
Kwa uwazi upo sahihi sana kuna tasisi ukienda kwenye interview ni majanga tu yaani unajuona ushafeli tayari angalau PSRS wanajitahidi sana na bora zaidi ajira zote za serikali zingepitia kwao
 
Back
Top Bottom