El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kama ndo ivo we usiwe na wasiwasi relax muda wowote unaweza ukarudisha kadi ya ujobless.ushapata kaz..Yaan utumish baada ya oral walipigia simu kuniambia chet changu Cha form 4 hakionekan vzur wakanipa na email nikitume tena umpya, nkasema kazi nmeshapata😅😅😅, adi Leo kimyaaaa 😅😅, dah inakatsha tamaa
Mmmh Aya ngoja tuonekama ndo ivo we usiwe na wasiwasi relax muda wowote unaweza ukarudisha kadi ya ujobless.ushapata kaz..
Ni kwel lkn tuna shauku kutaka kujua je miongon mwa watakaoitwa or notwakuu tusilaumu hovyo kwamba hawa jamaa hawafanyikazi,mchakato wa ajira ni jambo linalohitaji muda hasa katika tassisi za kiserikali kuna urasimu mkubwa na nertwerking/communication yake ni ngumu mno.
ajira zinapatikana baada ya kujulikana au kupatikana fungu,utumishi unategemea response ya taasisi na siyo kwamba wao wanachukua hovyo watu kitu hicho hakipo sisi tumesoma lazima vichwa vyetu viwaze zaidi ya tunavyowaza,kwani hakuna watu waliofanya usaili ndani ya miezi 2 na mtu akaajiriwa?
its the matter of time .
Kada gani?Yaan utumish baada ya oral walipigia simu kuniambia chet changu Cha form 4 hakionekan vzur wakanipa na email nikitume tena umpya, nkasema kazi nmeshapata😅😅😅, adi Leo kimyaaaa 😅😅, dah inakatsha tamaa
we andaa nauli tu ya kimbinyiko.procurement tena..Procurement
Kutoboa muhim usjarProcurement
Teeeenaaaawe andaa nauli tu ya kimbinyiko.procurement tena..
web inagoma kufunguka.dalili njema hiiLeo naona utumishi wameamka na warm up ya kazi za halmashauri kabla ya baadae hapo baadae kuachia pdf kubwa sana
Mbona inafungukaweb inagoma kufunguka.dalili njema hii
Chek na bando😂web inagoma kufunguka.dalili njema hii
hivi pinacoladee simu yako haichemki uko maana yangu mie nimeishika na tambala hapa. 🤣 🤣Teeeenaaaa
Wew kada ganiKutoboa muhim usjar
Huyu jamaa uzi wake umeleta impact sana pppte ulipo barikiwa sanaUlifanya oral ya taasisi gani na ni ya muda gani
Ndio huwa inakutangulia kwenye statusHivi status kwenye web ya kuwa shortlisted inaweza kutangulia kabla ya kimulimuli cha kuitwa interview?
Hivi status kwenye web ya kuwa shortlisted inaweza kutangulia kabla ya kimulimuli cha kuitwa interview?