Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaan utumish baada ya oral walipigia simu kuniambia chet changu Cha form 4 hakionekan vzur wakanipa na email nikitume tena umpya, nkasema kazi nmeshapata😅😅😅, adi Leo kimyaaaa 😅😅, dah inakatsha tamaa
kama ndo ivo we usiwe na wasiwasi relax muda wowote unaweza ukarudisha kadi ya ujobless.ushapata kaz..
 
wakuu tusilaumu hovyo kwamba hawa jamaa hawafanyikazi,mchakato wa ajira ni jambo linalohitaji muda hasa katika tassisi za kiserikali kuna urasimu mkubwa na nertwerking/communication yake ni ngumu mno.

ajira zinapatikana baada ya kujulikana au kupatikana fungu,utumishi unategemea response ya taasisi na siyo kwamba wao wanachukua hovyo watu kitu hicho hakipo sisi tumesoma lazima vichwa vyetu viwaze zaidi ya tunavyowaza,kwani hakuna watu waliofanya usaili ndani ya miezi 2 na mtu akaajiriwa?

its the matter of time .
 
Ni kwel lkn tuna shauku kutaka kujua je miongon mwa watakaoitwa or not
 
Hivi status kwenye web ya kuwa shortlisted inaweza kutangulia kabla ya kimulimuli cha kuitwa interview?
 
Back
Top Bottom