wakuu tusilaumu hovyo kwamba hawa jamaa hawafanyikazi,mchakato wa ajira ni jambo linalohitaji muda hasa katika tassisi za kiserikali kuna urasimu mkubwa na nertwerking/communication yake ni ngumu mno.
ajira zinapatikana baada ya kujulikana au kupatikana fungu,utumishi unategemea response ya taasisi na siyo kwamba wao wanachukua hovyo watu kitu hicho hakipo sisi tumesoma lazima vichwa vyetu viwaze zaidi ya tunavyowaza,kwani hakuna watu waliofanya usaili ndani ya miezi 2 na mtu akaajiriwa?
its the matter of time .