Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

PSRS wanaonesha speed nzuri, naanza kutulia Shaka swala la kuchelewa kuita watu kazini sio lao kwa asilimia zote
 
hawa washenz watatuua pdf mbili zote hata herufi ya mwanzo ya jina hamna.mbafmbaaabaf
 
Ni swala la muda, kweny mkeka wa Jana Kuna watu tumefanya nao interview siku moja Ila taasisi tofauti wao wameitwa wote sisi bado, na mkeka wa leo tuliwatangulia kufanya oral wao wakafata siku kama5 bhadae na wao majina yametoka Leo sisi bado Apo unaona Ni swala la taasisi husika.
 
Naona tumekaribia kufikiwa tuendele kutunza nauli.
 
Leo App kwangu imefunguka bwana na kastatus kangu hakajabadilika bado kapo vile vile SELECTED FOR ORAL INTERVIEW tuendelee kusubilia neema
Daaa umenifanya nikimbile portal imefunguk aisee ata mimi no any changes,bora hawajaondoka na selected, japokua sjapata ila neno No ni another case kwakwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ