ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Sijaipata Mkuu😂😂
Hongera tukutane wiki ijayo majengo ya Asha rose Migiro pale Udom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera tukutane wiki ijayo majengo ya Asha rose Migiro pale Udom
pinacoladee pdf mbili zote apeche alolo 🤣 🤣 🤣Hongera sanaa Noble,ukawe mtumishi mwema
Hongera mkuu ukawe mtumishi mwemaNashukuru Mungu awamu hii katika waliomo na mimi nimo🙏
Hongera mkuu ukawe mtumishi mwemaNashukuru Mungu awamu hii katika waliomo na mimi nimo🙏
Daah💔,ila zetu zetu zinakujaaapinacoladee pdf mbili zote apeche alolo 🤣 🤣 🤣
Aya ngj tusubirPSRS wanaonesha speed nzuri, naanza kutulia Shaka swala la kuchelewa kuita watu kazini sio lao kwa asilimia zote
🤣🤣🤣unajarb kusearch jina kwanzahawa washenz watatuua pdf mbili zote hata herufi ya mwanzo ya jina hamna.mbafmbaaabaf
Sawa sawa officerTuendelee kuvumilia...zinafuata MDA n LGA sasa...pdf itakuwa na MB
Naona tumekaribia kufikiwa tuendele kutunza nauli.Ni swala la muda, kweny mkeka wa Jana Kuna watu tumefanya nao interview siku moja Ila taasisi tofauti wao wameitwa wote sisi bado, na mkeka wa leo tuliwatangulia kufanya oral wao wakafata siku kama5 bhadae na wao majina yametoka Leo sisi bado Apo unaona Ni swala la taasisi husika.
Daaa umenifanya nikimbile portal imefunguk aisee ata mimi no any changes,bora hawajaondoka na selected, japokua sjapata ila neno No ni another case kwakwelLeo App kwangu imefunguka bwana na kastatus kangu hakajabadilika bado kapo vile vile SELECTED FOR ORAL INTERVIEW tuendelee kusubilia neema
Wanapiga kazi,na Leo bungeni pamotoLeo App kwangu imefunguka bwana na kastatus kangu hakajabadilika bado kapo vile vile SELECTED FOR ORAL INTERVIEW tuendelee kusubilia neema
Unalifuatilia eehWanapiga kazi,na Leo bungeni pamoto
Usaili ulifanya Lin mpendwaAfisa ugavi Kongwa DC😅😅😂