captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapyaNashuru Mungu leo pdf hili nimetoboa, nimeomba kazi mara 6 nimeitwa usaili kazi 5 nimefanikiwa kuingia oral 4 leo hii nimetoboa kutokea data base (sijui ni data base ya interview gani) namshukuru Mungu lets keep it, MUNGU ni mwema hakika, nami sitaacha kushuhudia mambo makuu ya MUNGU,
Tufanye saili tumuombe Mungu.
Amina.
Nashukuru sana mkuu wakati wa Mungu ni wakati sahihi nimekosa sana placement.Hongera sana,kila la kheri mkuu
Nashukuru sana mkuuHongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemaNashuru Mungu leo pdf hili nimetoboa, nimeomba kazi mara 6 nimeitwa usaili kazi 5 nimefanikiwa kuingia oral 4 leo hii nimetoboa kutokea data base (sijui ni data base ya interview gani) namshukuru Mungu lets keep it, MUNGU ni mwema hakika, nami sitaacha kushuhudia mambo makuu ya MUNGU,
Tufanye saili tumuombe Mungu.
Amina.
Natamani pdf zitakazofuata ziwe ndefu ndefu kama hii ya leoPdf la leo limezoa kuanzia 2022 mpk march 2023...si mchezo...civil technicians 60 wamelamba asali tanroads...
Utumishi oyeee
Naona unatoa hongera kwa wengine vipi na wewe kwa upande wako umelamba asali?Hongera sana,kila la kheri mkuu
Mkuu hii ya saiv ni bandika bandua saiv ni mwendo wa pdf Tu tuandae nauli tushafikiwa tayari naamini Mungu ni mwema hutoa Kwa wakati sahihisasa hapa tujiandae kisaikolojia mpaka pdf lingine litoke maji tutaita mmma 🤣 🤣
dahh na iwe hivyo ndugu yangu wengine tunapigishwa mpaka deki nyumbani huku..Mkuu hii ya saiv ni bandika bandua saiv ni mwendo wa pdf Tu tuandae nauli tushafikiwa tayari naamini Mungu ni mwema hutoa Kwa wakati sahihi
Vumilia Tu mkuu. Wakati utafika Tu, ujobless ni zaidi ya kazi aseedahh na iwe hivyo ndugu yangu wengine tunapigishwa mpaka deki nyumbani huku..
😂😂😂daaa wangefany ile weka tuwekesasa hapa tujiandae kisaikolojia mpaka pdf lingine litoke maji tutaita mmma 🤣 🤣
tuombe wafanye hivyo ila mmhh kwa jinsi ninavyowajua ni kumwomba mungu tu.iyo ngoma mpaka wa 5 🤣 🤣😂😂😂daaa wangefany ile weka tuweke
Kwamba wahandisi umeme huko serikalini huwa hawafi wala kustaafu ?sasa hapa tujiandae kisaikolojia mpaka pdf lingine litoke maji tutaita mmma [emoji1787] [emoji1787]
🤣 🤣 wanazingua kichizKwamba wahandisi umeme huko serikalini huwa hawafi wala kustaafu ?
Mbona hamna Placement Kwa Electrical engineers ?
Wapuuzi wanapigisha interviews hawatoi placements
Kila pdf hola
Wtf is going on ?
yaani kada tu kuiona ni mbinde sjui majina tutayaona liniKwamba wahandisi umeme huko serikalini huwa hawafi wala kustaafu ?
Mbona hamna Placement Kwa Electrical engineers ?
Wapuuzi wanapigisha interviews hawatoi placements
Kila pdf hola
Wtf is going on ?
Shukrani sana mkuuHongera sana mwanetu