Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nashuru Mungu leo pdf hili nimetoboa, nimeomba kazi mara 6 nimeitwa usaili kazi 5 nimefanikiwa kuingia oral 4 leo hii nimetoboa kutokea data base (sijui ni data base ya interview gani) namshukuru Mungu lets keep it, MUNGU ni mwema hakika, nami sitaacha kushuhudia mambo makuu ya MUNGU,

Tufanye saili tumuombe Mungu.

Amina.
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya
 
Nashuru Mungu leo pdf hili nimetoboa, nimeomba kazi mara 6 nimeitwa usaili kazi 5 nimefanikiwa kuingia oral 4 leo hii nimetoboa kutokea data base (sijui ni data base ya interview gani) namshukuru Mungu lets keep it, MUNGU ni mwema hakika, nami sitaacha kushuhudia mambo makuu ya MUNGU,

Tufanye saili tumuombe Mungu.

Amina.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema
 
Pdf la leo limezoa kuanzia 2022 mpk march 2023...si mchezo...civil technicians 60 wamelamba asali tanroads...
Utumishi oyeee
 
sasa hapa tujiandae kisaikolojia mpaka pdf lingine litoke maji tutaita mmma [emoji1787] [emoji1787]
Kwamba wahandisi umeme huko serikalini huwa hawafi wala kustaafu ?
Mbona hamna Placement Kwa Electrical engineers ?
Wapuuzi wanapigisha interviews hawatoi placements
Kila pdf hola
Wtf is going on ?
 
🤣 🤣 wanazingua kichiz
 
Kwamba wahandisi umeme huko serikalini huwa hawafi wala kustaafu ?
Mbona hamna Placement Kwa Electrical engineers ?
Wapuuzi wanapigisha interviews hawatoi placements
Kila pdf hola
Wtf is going on ?
yaani kada tu kuiona ni mbinde sjui majina tutayaona lini
 
Back
Top Bottom