captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapyaNashuru Mungu leo pdf hili nimetoboa, nimeomba kazi mara 6 nimeitwa usaili kazi 5 nimefanikiwa kuingia oral 4 leo hii nimetoboa kutokea data base (sijui ni data base ya interview gani) namshukuru Mungu lets keep it, MUNGU ni mwema hakika, nami sitaacha kushuhudia mambo makuu ya MUNGU,
Tufanye saili tumuombe Mungu.
Amina.