Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Niko na mission nasikilizia🤣🤣..PSRS Msichane mkeka wangu,mwaka huu nawategemea sana 😢 🙏
 
Aiseee kitaa kigumu sana...Alafu wanamtaa wanatupostia clip za Dotto magari🤣🤣...wengine mkiwa mnapig stor unasikia wenye degree zao Tuko nao mtaani uku wanakuangalia usoni💔
Yaanii Mimi ndiye wakutolewa mfano kwelii mtaanii,,,,,Nimekuwa funzo Kwa wenginee😭😭
 
Wale mliofanya usaili Mzumbe wameanza kupiga cm mkaripoti kazini. Hakikisha cm yako inapatikana ndugu zanguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…