Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wale mliofanya usaili Mzumbe wameanza kupiga cm mkaripoti kazini. Hakikisha cm yako inapatikana ndugu zanguni.
au watakua wamebadilisha mfumo wa kuita watu kazini nini badala ya pdf ni simu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…