Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Mmmh tutasubir sanabora hata wangekua wanapiga simu tungeokoa mabando
Kada zipi hizoWale mliofanya usaili Mzumbe wameanza kupiga cm mkaripoti kazini. Hakikisha cm yako inapatikana ndugu zanguni.
Lakin naskia kuna watu huwa wanapigiwa sim za kufata barua halaf mkeka unakuja kutoka baadayebora hata wangekua wanapiga simu tungeokoa mabando yetu..
Walikua wananibishia. Leo lazima mbivu mbichi ijulikaneKafuta placement tatu wala sio moja.. kafuta ya TANAPA, ARDHI na TAASISI MBALIMBALI.
mmhh labda wawe wanakuhitaj harakaLakin naskia kuna watu huwa wanapigiwa sim za kufata barua halaf mkeka unakuja kutoka baadaye
Yani unapigiwa kama leo halafu usjachukua barua wiki mbili baadae jina linatoka
Law 1 postKada zipi hizo
Duuu hongera zao,wengine wapo wanaskilizia kila muda wanaingia web kumbe wengine washaripoti kaziniLaw 1 post
Assistant lecture HR 1post
Assistant lecture Accounting 1 post
Assistant Librarian trainee 2post
Interview ni ya Mzumbe ila imesimamiwa na psrs maana majibu ya written interview yametoka kwao ila kuita watu kazini HR mzumbe ndio kapigia watu simu kwaiyo huyu jamaa angu hajaenda Asha Rose kuchukua barua wamepewa huko chuoni walipowasili.
inaweza kutoka muda wowote tukuanzia sasa 🤣 🤣Hivii na sisi tuliofanya Oral tarehe 30/04/2024 placement inawezeka kutoka kabla ya mwezii huu kuisha.
Kama wanakwambia Kilimo cha matikiti maji kinalipa wala usipuuze nenda tu uwe unalima wakati ukisklizia. Placement hapo inaweza kuwa September ikipendeza saana January 2025Hivii na sisi tuliofanya Oral tarehe 30/04/2024 placement inawezeka kutoka kabla ya mwezii huu kuisha.
Inawezekana mkaitwa fasta piaHivii na sisi tuliofanya Oral tarehe 30/04/2024 placement inawezeka kutoka kabla ya mwezii huu kuisha.
Inawezekana mkaitwa fasta pia
Kutegemeana na kada husika
🤣🤣🤣tushaliwa vichwa..
Piga ADRUINO mkuutushaliwa vichwa..
ehh unaijua arduino vizuri..?Piga ADRUINO mkuu
Na PLC ,motor starters anazijua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ehh unaijua arduino vizuri..?
ninchokumbuka mpaka sasa hivi ni kufunga switch tu.. 🤣 🤣Na PLC ,motor starters anazijua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila sisi Electrical engineers ,usipokuwa makini na ujobless huu ,unaweza shitukia unapata zero kwenye interview ,Maana concepts zinayeyuka balaa ,hasa usipo practice
Na Autocad mkuu nazifaham, sizijui au GIS cardehh unaijua arduino vizuri..?