Kaizer Agusto
Member
- Jul 20, 2023
- 54
- 110
ShukranHongera sana mkuu
Taasisi gani mkuu wanaojitolea hiyo?Utumishi oral tumefika kwa mbinde mikeka haitoki.
Polisi nao wametoa kazi leo siku ya tatu hapasomeki mtandao haukamatiki. Cha kushangaza kuna taasisi watu wanajitolea mwaka wa tatu plus na wanalipwa za kutosha yani unashindwa kuelewa hao wanaojitolea walipita wapi na tangazo la kuomba kujtolea hujwahi liona...?? Ee Mungu kuwa upande wetu.
Hapo unaweza jikuta unasmama barabarani alimradi gari lipite nawewe. Ila inaonekana Waliofika final wakafaulu n wachacheKwenye advertisement wanaandika 5 positions... Placement 2 positions.
Itakua wanaanza kuingia watoto wa vigogo
Kujitolea wanapangiwa na TaesaUtumishi oral tumefika kwa mbinde mikeka haitoki.
Polisi nao wametoa kazi leo siku ya tatu hapasomeki mtandao haukamatiki. Cha kushangaza kuna taasisi watu wanajitolea mwaka wa tatu plus na wanalipwa za kutosha yani unashindwa kuelewa hao wanaojitolea walipita wapi na tangazo la kuomba kujtolea hujwahi liona...?? Ee Mungu kuwa upande wetu.
Hapana...taasis zina shida, psrs wanajitahid kwenye uwaz, shida ni taasis zenyeweHapo unaweza jikuta unasmama barabarani alimradi gari lipite nawewe. Ila inaonekana Waliofika final wakafaulu n wachache
Kujitolea wanapangiwa na Taes
Unapitia Taesa kama huna mjomba ukoHivi NSSF,NACTVET na n.k wannaojitolea au ajira za mikataba zinapatikanaje huko?
Ndugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
Tuombe psrs wapewe mamlaka kamil juu ya ajira zote...nasi wakulima tuchomoke...Binafsi sielewi nan anapanga ila kuna watu wanajitolea huko MDA na wanalipwa si haba. Imagne mtu anapewa 900K bila kodi au makato.,😃😃😃 hela ambayo anapewa Afisa Kilimo Halmashauri tena na makato juu. Mungu asimame katika haya jaman
Watu kweli mna hasira eti pdf uchwara..hujui humo Kuna ambao washajpakulia minyama?Kuna pdf uchwara huko mkacheki
Kama mmegundua wengi wanaotoa shuhuda humu za kulamba asali ni wale wanaoongelea vizuri kuhusu psrs..,
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu.Ndugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
Ni direct mkuu japokua Ni interview yangu ya pili kufika oral, na status mpaka Sasa inasomeka Selected for oral.Mkuu hongera sana Mkuu. Ila tupe experience je hyo ilikua database au ni gusa unate.. Hebu twambie furaha yako pia. Hongera
Shukran sanaa, ninaenda kupiga kaziHongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu.
Hehehe...mkuu watu wanatoa ushaur mambo ya kurekebisha psrs achana na wale wanaotukana lkn wengi wanatoa ushauriKama mmegundua wengi wanaotoa shuhuda humu za kulamba asali ni wale wanaoongelea vizuri kuhusu psrs..,