Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi oral tumefika kwa mbinde mikeka haitoki.
Polisi nao wametoa kazi leo siku ya tatu hapasomeki mtandao haukamatiki. Cha kushangaza kuna taasisi watu wanajitolea mwaka wa tatu plus na wanalipwa za kutosha yani unashindwa kuelewa hao wanaojitolea walipita wapi na tangazo la kuomba kujtolea hujwahi liona...?? Ee Mungu kuwa upande wetu.
Taasisi gani mkuu wanaojitolea hiyo?
 
Utumishi oral tumefika kwa mbinde mikeka haitoki.
Polisi nao wametoa kazi leo siku ya tatu hapasomeki mtandao haukamatiki. Cha kushangaza kuna taasisi watu wanajitolea mwaka wa tatu plus na wanalipwa za kutosha yani unashindwa kuelewa hao wanaojitolea walipita wapi na tangazo la kuomba kujtolea hujwahi liona...?? Ee Mungu kuwa upande wetu.
Kujitolea wanapangiwa na Taesa
 
Hapo unaweza jikuta unasmama barabarani alimradi gari lipite nawewe. Ila inaonekana Waliofika final wakafaulu n wachache
Hapana...taasis zina shida, psrs wanajitahid kwenye uwaz, shida ni taasis zenyewe
 
Binafsi sielewi nan anapanga ila kuna watu wanajitolea huko MDA na wanalipwa si haba. Imagne mtu anapewa 900K bila kodi au makato.,😃😃😃 hela ambayo anapewa Afisa Kilimo Halmashauri tena na makato juu. Mungu asimame katika haya jaman
Kujitolea wanapangiwa na Taes
 
Mkuu hongera sana Mkuu. Ila tupe experience je hyo ilikua database au ni gusa unate.. Hebu twambie furaha yako pia. Hongera
Ndugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
 
Binafsi sielewi nan anapanga ila kuna watu wanajitolea huko MDA na wanalipwa si haba. Imagne mtu anapewa 900K bila kodi au makato.,😃😃😃 hela ambayo anapewa Afisa Kilimo Halmashauri tena na makato juu. Mungu asimame katika haya jaman
Tuombe psrs wapewe mamlaka kamil juu ya ajira zote...nasi wakulima tuchomoke...
Mitihan yao migumu alafu gharama kubwa
 
Binafsi najiamini na naamini sala na sadaka zangu maisha yangu yote kwa Mungu ..... Sijui ni mwaka wa ngapi nasubiri placement. Kuna ambao wamekuja nyuma yangu washapata.. Yeye akisema nipate Nitashukuru akisema mda bado sawa... Ila namuomba anipe fungu alilolipanga yeye pengine ili nisizeeke kwa stress ya kusoma na kutopata mchongo. Hii ni dua yangu kwenu nyote.
 
Back
Top Bottom