Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
[emoji3][emoji3][emoji3]WEKA gamba la MECHATRONICS level 3 ulambe asali mkuuutumishi bana yaani mie nimesoma udereva nina cheti na leseni ninayo ila siwezi apply nashuhudia masuka wenzangu wanavyomiminiwa asali mbichi.. [emoji1787] [emoji1787]
ukiweka ilo unashangaa upepo umehamia kwa majanitor.. 🤣 🤣[emoji3][emoji3][emoji3]WEKA gamba la MECHATRONICS level 3 ulambe asali mkuu
Ilimradi kuteseka tu [emoji3][emoji3]ukiweka ilo unashangaa upepo umehamia kwa majanitor.. [emoji1787] [emoji1787]
nzuri za kwakoMajobless wenzangu, habari za kuchanganyikiwa🥴🥴
Kudata lazima mkuu nadhani tupo stage hyo..hisia zote zimekata🤣,kichwa chote cha moto Psrs imekolea kichwaniMajobless wenzangu, habari za kuchanganyikiwa🥴🥴
🤣🤣Sawa pilot nam nko nyuma ykohaya mapilot wenzangu tukaongeze received..
Kwakweli drivers ndo ma last born sio kwa kulamba uku asali..Pole badirisha vyeti kwenye portal mkuu weka vya udereva kapige usahili ukitoboa ukaingia kwenye system baadae unabadirisha fani juu kwa juu huku ukilamba asali madereva ni ma last born wa utumishi wa umma
Swalaaama kabisa japo sijielewi elewiii😂nzuri za kwako
Yaan muda wote huelewi unaenda mbele au unarudi nyuma 😃Kudata lazima mkuu nadhani tupo stage hyo..hisia zote zimekata🤣,kichwa chote cha moto Psrs imekolea kichwani
NÌNGIE WEB SASA BEFORE SAA 6Yaan muda wote huelewi unaenda mbele au unarudi nyuma [emoji2]
😂😂 Jobless mwenzangu naona unazidi changanyikiwa sasa, PSRS washalala sasa hvNÌNGIE WEB SASA BEFORE SAA 6
[emoji3][emoji3]ACHA NIPOZE MACHUNGU MKUU[emoji23][emoji23] Jobless mwenzangu naona unazidi changanyikiwa sasa, PSRS washalala sasa hv
Sawa,Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
kama kawaKumekucha na kuchungulia web ya utumish
🤣🤣🤣Majobless wenzangu, habari za kuchanganyikiwa🥴🥴
Mmh, ngoja tusubiriLeo kuna harufu ya pdf