Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanaangalia aliyefanya usaili akiwa wa kwanza. Hata mkilingana max wanaangalia nani alimaliza chuo mapema
 
Navyojua anaeingia wa kwanza ndiye anawahii kutoka na wanapiki kuanzia maksi za juu
 
Navyojua anaeingia wa kwanza ndiye anawahii kutoka na wanapiki kuanzia maksi za juu
FIFO.

First in First Out.

Mimi nimeingia database wa nane.

Ila kuwa watu wa kada yangu walifsnya mwezi wa sita oral walipiga kama 80 tangia mwaka huu naona wao tu ndo wanaitwa.

Sisi wa mwezi wa nane hawajagusa hata Mmoja.
 
Ujinga gani mnafanyisha watu interview zaidi ya moja na hamtoi Placement , mwaka huu unaisha .
Upuuzi pro max
 
Habari za mida hii,Jamani kwa wazoefu wa ajira portal sijawahi kufanya usaili wa ajira portal nimeomba ajira za ualimu (chemistry) mwajiri ni MDA&LGA Naombeni mnisaidie nipate mwanga sehemu ya kukoncetrate ili nifaulu hiyo paper,Msaada wenu ni muhimu
 
Habari za mida hii,Jamani kwa wazoefu wa ajira portal sijawahi kufanya usaili wa ajira portal nimeomba ajira za ualimu (chemistry) mwajiri ni MDA&LGA Naombeni mnisaidie nipate mwanga sehemu ya kukoncetrate ili nifaulu hiyo paper,Msaada wenu ni muhim
Hapo mkuu itabid uijue chemistry...unaweza kutana na equation za kutosha...soma sana na usiache kwenda ili upate uzoefu
 
Naomba msaada wa specification ya profile photo ya kwenye ajira portal.
Height, width, size kwa maana ya mb na format yake pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…