Makabi Lilepo
Member
- May 28, 2023
- 95
- 148
Wanaangalia aliyefanya usaili akiwa wa kwanza. Hata mkilingana max wanaangalia nani alimaliza chuo mapemaNaomna kufahamu mwenye uelewa na hili hivi UTUMISHI hutumia njia gani Kupanga vituo kwa wale wanaobahatika kuingia DATABASE yao.Je hutumia njia ya kumtoa wa kwanza kuwekwa au wanapick randomly au wanawapanga in acsending order wa marks za juu ndo atakaeanza kutoka haijarishi lini amewekwa kwenye DATABASE?!!
Mfano; Candidate wa kwanza kafanya usaili mwezi wa 5 na alipa 80 akafanikiwa kuwekwa kwenye DATABASE na Candidate mwingine kawekwa mwezi wa 7 ila alipata 90 hizi ni saili tofauti mwezi wa 9 ikatokea nafasi yupi ataanza kuwa first consider.