Au aliyeitwa mara ya kwanza hakureport ?
Mbona wako wazi..Kwa kujivuna vuta huku si ajabu hata kuna watu wanaitwa kazini na Placement zao kutolewa ila hawajui wala hawareport .
Haya majamaa yana fanya assumption kila mtu ana attention ya kufuatilia Placement mwaka mzima , ujinga sana
Wamezoea za TAMISEMI za bwerereππWalimu waoga jamani kwenye interview sijui kwanini
Uku utumishi sio poaπWamezoea za TAMISEMI za bwerereππ
Huku panahitaji uvumilivu mkubwa Sana kwakweliUku utumishi sio poaπ
Wamekutana na kitu kizito hawaamini....Wamezoea za TAMISEMI za bwerereππ
Tra kunadalili ya Database itachomoka maana hakuna placement iliyofanyika...alafu wanatangaza tena hapo mpka mwakani!!!Ngj tuone jmn...halafu ile beba kma Tra sjui mwaka jana sjui juzi hakuna tena?j
Ni balaa ,ni ninahisi kuna taasisi zinaingiza watu kinyemela cTOKEA TAASISI ZIANZE KUAJIRI ZENYEWE, UTUMISHI WAMEANZA KUFANYISHA INTERVIEW WATENDAJI WA VIJIJI NA WALIMU....HALI ITAKUA MBAYA SANA KWA SISI WA KADA NYINGINE
Mkuu pale ukikosea wanaleta dimensions za picha inayotakiwa...ile error message nyekundu isome
Mfano wa taasisiNi balaa ,ni ninahisi kuna taasisi zinaingiza watu kinyemela c
Hii nchi ya kishenzi sana
Zitaje..Ni balaa ,ni ninahisi kuna taasisi zinaingiza watu kinyemela c
Hii nchi ya kishenzi sana
Saiv mambo sio rahisi kihivyo mzee kuchomekana ni ngumu. Hata uwe na ndugu psrs hawezi kukuchomeka labda rais ndio ana mamlaka makubwa akuweke.Ni balaa ,ni ninahisi kuna taasisi zinaingiza watu kinyemela c
Hii nchi ya kishenzi sana
Pole mkuu ila ungejua kwenye taasisi kumejaa watu wengi wa mikataba na hao watu ni majeuri hatari kwa sababu wengi wao wanakuwa na connection na watu wa taasisi husika na watu wa mikataba vichomi hatari hasa wakijua ni mtu wa kudumu wanavuta midomo hatari .hivyo ni ngumu sana kupenyeza mtu kupitia PSRSTOKEA TAASISI ZIANZE KUAJIRI ZENYEWE, UTUMISHI WAMEANZA KUFANYISHA INTERVIEW WATENDAJI WA VIJIJI NA WALIMU....HALI ITAKUA MBAYA SANA KWA SISI WA KADA NYINGINE
Sio midomo tu...watakupiga majungu uonekane ujui kaziPole mkuu ila ungejua kwenye taasisi kumejaa watu wengi wa mikataba na hao watu ni majeuri hatari kwa sababu wengi wao wanakuwa na connection na watu wa taasisi husika na watu wa mikataba vichomi hatari hasa wakijua ni mtu wa kudumu wanavuta midomo hatari .hivyo ni ngumu sana kupenyeza mtu kupitia PSRS
Hilo ndio balaa usipokuwa makini wanakuingiza chakaSio midomo tu...watakupiga majungu uonekane ujui kazi
Yaan wanalalamika sana alafu wanacholalamikia hakipo...wakipata error kidogo tu wanasema mtandao mbovu..Ila walimu wasumbufu jamani wanaona kama kuonewa kufanya interview yaani wanalia kila mahali
Watazoea tu mbona kada za Afya wengi wanafanya interview psrs.Ila walimu wasumbufu jamani wanaona kama kuonewa kufanya interview yaani wanalia kila mahali
MDA n LGA Programming wanahitajika 15 lakini pia kaitwa 1. πππPsrs ni kuwavumilia tu...interview ya MDA n LGA waliandika nafasi 5, lakini wameita mmoja...yaani wanaita mmoja mmoja