Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Au aliyeitwa mara ya kwanza hakureport ?
Anaweza kuwa hakuripoti, pia inaweza kuwa walihitaji kuongezewa mtu mwingine baada ya kupewa yule wa mwanzo.
Tukumbuke kuwa, hawa wanaotoka database, PSRS haiwaiti kwa matakwa yao isipokuwa kwa kupewa mahitaji na waajiri ndipo wanawapangia vituo na kuwaita.