Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wazee wa electrical...Mtibwa sugar watatangaza nafasi soon..stay tuned!
 
Dah !
Ila jobless WA jamii forum tulijua kukomaa, Mwifwa
Unakumbuka hii comment yako ?
Ndio majobless tuko kwenye hii hali kwa sasa .
Huu uzi umetoka mbali .
Duh !
Anyway , Utumishi acheni ukuda ,toeni Placement aisee .

 
Database ya academicians ?
Si huwa hamna database ya academicians ?
Database ya academician ipo mkuu sema kule watu wanafeli sana hawafikishi 70% ila kwenye miongozo Yao database ya wakufunzi ipo mbona.
NB. Mbona Kuna mtu namfahanu juzi apa kapata tutorial assistant alikosaga mwaka Jana akapotezea kaja kupata mwaka huu.
 
Dah!!Inamaana tuliofanya kati ya hizi Taasisi hatuna matumain tena kutoka mkeka wa database....πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
Sio kwa Ukimya huu PSRS.
Matumain yapo mkuu...wakati ukifika utalamba asali
 
Matumain yapo mkuu...wakati ukifika utalamba asali
Tunamuomba Mama(rais) arudishe kibali kwa Taasisi kwa Utumishi(PSRS) kutupa matumain kwa jobless angalau PSRS haki ipo 90% na ukabila unapungua kuliko yanayoendelea sasa
PSRS wanamapungufu yao ila wanaweza kuyamaliza kuliko sasa ...PSRS wanachotufanyia kwa jobless Mkeka(pdf )mmoja unavunja mara 4
 
Dah !
Ila jobless WA jamii forum tulijua kukomaa, Mwifwa
Unakumbuka hii comment yako ?
Ndio majobless tuko kwenye hii hali kwa sasa .
Huu uzi umetoka mbali .
Duh !
Anyway , Utumishi acheni ukuda ,toeni Placement aisee .

View attachment 2999384
Daah, kwa sasa imebaki historia aisee.

Laiti nisingeenda kwenye ule mkando kama nilivyokuwa nimejikatia tamaa, sijui ingekuwaje maana baada ya hapo nafasi ziliendelea kutangazwa kwa uchache sana huku wengi wao wakaendelea kuchomolewa kutoka Database kupitia zile sahili nilizokandwa.

Kwenye hustle haitakiwi kushusha silaha chini kabla ya ushindi, kadri unavyoendelea kupambana ndivyo unavyoyakaribia mafanikio kwa sababu kwenye kupambana ndipo unapojifunza na kurekebisha makosa uliyokumbana nayo.

Tusikate tamaa tunapopambana na jambo lolote, Mungu anatia wepesi kwa wale wanaoonyesha juhudi za kupambana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…