Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huu Uzi umesaidia wengi ila Kuna mshamba mmoja ameanza kuharibu sijuii anafanya kwa faida gani anayopataa??,,T-pain
 
Not selected for oral baada ya kupiga oral hiyo ni Bye bye.
 
Not selected for oral baada ya kupiga oral hiyo ni Bye bye.
Umeelewa nilichomaanisha??? Au nikupe evidence waliopata placement za juzi kati hapa na walipiga oral mwaka Jana bye bye ni placement husika tu.
 
Alete ushahidi Mimi ninayo not selected for oral kwa tuliopiga nao nane walilamba asali watano NOT selected mpaka leo hamna kitu tunajipanga upyaaa.
Kama hujapata na wakatangaza tena kazi za kada Yako basi we ulifeli oral mkuu. Acha kubisha kubali matokeo
 
utumishi mizinguo mamamae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…