Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Moderator huu uzi ungeitwa PSRS special thread maana naona kuna maswali kuhusu psrs yanaanzishwa wakati majibu yapo humu
 
Mkuu unachokifanya ni kama unaipaka make up hiyo not selected for oral iwe na muonekano mzuri ila kiuhalisia ukiona not selected ni baba jeni bye bye😂
 
Hii pdf ya utumishi leo ndio tuiiteje ?
Ila hawa jamaa hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
PDF IJAYO ITAKUA NA JINA MOJA TU, NALO NI LANGU TUSEME AMEN!!
Aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena kada yenyewe itakuwa ya upishi kama si usekretari
Ila huu upuuzi , aisee yoyote atakayefanikiwa kupata upenyo wa kuingiza riziki ,ajipange vizuri mtoto wake asije kupitia msoto kama ambao jobless WA nchi hii anapitia .Msoto wa kufukuzia ajira nchi hii sio kabisa .
Haya sio maisha kabisa .
Fighting for crumbs .
 
Kweli kabisa kaka, daah! Ni mateso yaani!😄, Na watoto wetu waje wateseke hivi!? Hapana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…