Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Mimi hizi Ajira za ualimu naomba leo leo wakitangaza tuTunako elekea Jobless.......!!!!
Mungu atutetee tuwe na moyo wa uvumilivu kwa matendo ya serikali wanayotutendea maana Sio Matumain wanayotoa serikali kwa jobless alafu vitendo hamna...
Cha ajabu madereva wenyewe kila mkeka wapo hata uwe wa majina mawili basi moja lao au yote yaoPDF IJAYO ITAKUA NA JINA MOJA TU, NALO NI LANGU TUSEME AMEN!!
Kuna taasis nying hazitangazi ajira,hivi TRA,Tanesco,NSSF,NHIF,n.k mbn hawatoi nafasi za kazi?Zaivi utumishi imekuwa ya wayendaki wa vijiji, vyuo na hospitali ina maana taasisi nyingine zipo wapi.. au ndio hadi bajeti ipite,?
Hata sielewi na kwenye pdf hata basi watoe watu database hawatoi.Kuna taasis nying hazitangazi ajira,hivi TRA,Tanesco,NSSF,NHIF,n.k mbn hawatoi nafasi za kazi?
TAMISEMI AUKesho tarehe 30 May 2024 wanafungua Dirisha la ajira
Mzee mzima T-Pain kwnye moja na mbili...twende kazi baba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Hapana hapo Huwa wanamaanisha kuwa sio kwamba umefeli mazima maana yake Ile post husika huwezi kupata kutokana na ufinyu wa nafasi Cha msingi ni kuendelea kuchungulia PDF lolote linaweza kutokea ni ushahidi kuhusu hili
Mbn unacheka mkuu?🤣🤣🤣🤣🤣
KPdf la leo limevunja Rekodi😃😃😃😃 mpaka nimecheka,,
Leo uhakikaVp ndugu zng jobless?
Hii imeendaa....😄Leo ni shwaaaa..
Hali si shwari bidada, tunateseka😄Vp ndugu zng jobless?
Tupo kama hatupo😕.Wamejua kututesaHali si shwari bidada, tunateseka😄
Ni shidaTupo kama hatupo😕.Wamejua kututesa