Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mie ndo mara ya kwanza kuona pdf la watendaji utumishi
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†......
IT anakosa cha kupdate Mkuu bora awajulishe hata cha screenshoot anachotumiwa Anaumia sana kuona Tunateseka...
Ukimtizama kwa Jicho la 3 IT(PSRS)hapendezwi nayo mambo haya yanayoendelea ukifutilia pdf zote nzito anarusha whatsapp,fb na Twitter ila itoke pdf robo page haukuti kwenye social media yoyote zaidi ya website ya PSRS
 
kumbe na wewe umegundua.hizi pdf hawapost kule
 
Kweli IT anatuhurumia sana...maana anapost hata majina matano tu akipata...
 
Dah Nina imani na nchi yangu TZ ila sina imani na watu mwenye authorities mbalimabali, naona wengi wako ndani ya box, sina uwezo na kibali cha kuwahukumu bali Mungu ndo ajua hukumu za kila mtu kwa imani, sina cha kuongea maana waliyo wengi katika nyadhifa zao wana kiburi na kutojali matakwa ya wenzao, ewe Mwenyezi Mungu tenda miujiza na hukumu kulingana na jicho lako litazamapo yanayo endelea katika nchi yako penndwa TANZANIA
 
Leo hii wahandisi wemekuwa takataka!?, sector ya afya je nayo, secctor ya kilimo haipewi uwezeshaji wa kutosha, basi boresha sector ya kilimo kama vile kilimo cha umwagiliaji tukasake riziki huko!
 
Au serikali ianzishe bima za waendesha bodaboda na mafunzo ya undeshaji na yatolewe na leseni, pia jengeni miladi ya barabara za bodobod kila sehemukwa lengo la kuimalisha hizi fulsa za bodabod ili vijana wakajiajili huko
 
ujue kila kitu kinaenda ovyo katika hii nchi ni kwa sababu ya ufinywu wa marifa kwa baadhi ya watumishi wa uma na viongozi kwa ujumla
Ujue kila mtu anahaki ya kuwa na nyadhifa hizo katika hii nchi ila kulingana na uhalisia haiwezekani ni lazima tuwape wachache hizi authorities ila watende haki kwa kila mtu katika nchi yake pendwa sasa wapo watu hawajui jukumu walilo pewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…