Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majobless wenzangu pdf lingine litatoka baadae tusife moyo.. 😂😂
Kumbee umesoma kada yangu vitu vingumu hadii ajiraa daaahMpaka unajuta kusomea engineer,naskia zaman ukimaliza tu chuo ajira tayr 😂
🤣 🤣 🤣Mpaka unajuta kusomea engineer,naskia zaman ukimaliza tu chuo ajira tayr 😂
Utumishi wameishiwa Cha kupost ndio maanamie ndo mara ya kwanza kuona pdf la watendaji utumishi
duhh kali hiiUtumishi wameishiwa Cha kupost ndio maana
😆😆😆😆......mie ndo mara ya kwanza kuona pdf la watendaji utumishi
kumbe na wewe umegundua.hizi pdf hawapost kule😆😆😆😆......
IT anakosa cha kupdate Mkuu bora awajulishe hata cha screenshoot anachotumiwa Anaumia sana kuona Tunateseka...
Ukimtizama kwa Jicho la 3 IT(PSRS)hapendezwi nayo mambo haya yanayoendelea ukifutilia pdf zote nzito anarusha whatsapp,fb na Twitter ila itoke pdf robo page haukuti kwenye social media yoyote zaidi ya website ya PSRS
Leo jamaa wametoa mpya aisee, na uandishi ulivo sasa🤣🤣🤣mie ndo mara ya kwanza kuona pdf la watendaji utumishi
Ajira za halmashauri huwa zipo faster sana wale wanakuwa na uhitaji wa harakaBunda wamefanya usaili juzi tar 26 may. Leo wameitwa kazini watu 13 😁😁😁 hii nchi haitabiriki.
Hata mimi, wamekosa vya kupostmie ndo mara ya kwanza kuona pdf la watendaji utumishi
Kweli IT anatuhurumia sana...maana anapost hata majina matano tu akipata...😆😆😆😆......
IT anakosa cha kupdate Mkuu bora awajulishe hata cha screenshoot anachotumiwa Anaumia sana kuona Tunateseka...
Ukimtizama kwa Jicho la 3 IT(PSRS)hapendezwi nayo mambo haya yanayoendelea ukifutilia pdf zote nzito anarusha whatsapp,fb na Twitter ila itoke pdf robo page haukuti kwenye social media yoyote zaidi ya website ya PSRS
Hahahaha 🤣😂 IT sio kwamba anaona siku nzima hana kazii ya kufanyaKweli IT anatuhurumia sana...maana anapost hata majina matano tu akipata...
Anaona jinsi majobless tunavyoumia kwahiyo anajaribu kutufarijiHahahaha 🤣😂 IT sio kwamba anaona siku nzima hana kazii ya kufanya
Una taaluma gani?Tumekosa nn sisi majobless wa tz,kama kusoma tumesoma shida iko wapi😞