Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

MUCE ni chuo kikuu mchakato unaendeshwa na chuo utumishi wakisimamia tu...IAE ni chuo cha kati mchakto upo utumishi ndio maana vyuo vyote vya kati bado hawajaita wat kzn kua na amani
Tulifanyia chuoni kwao pale, siwezi jua kama utumishi ndio walisimamia zoezi au chuo lakini maafisa utumishi walikuwepo
 
Mkuu hili swali la weaky zako unajibuje.. kama ww ulijiandaa kujibu vip
 
Oral tulikuwa 24 na nafasi 9 (tumaini langu la mwisho,)


MUCE oral 3 nafasi 1 (nishakandwa)
Muhas oral 5 nafasi 2 (nishakandwa)
Ya muce ndio ulikuwa na nafasi kubwa sana ila usikate tamaa yawezekana mungu anataka uwe mtumishi wa IAE. Pia amini kuwa kila kitu kina sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…