Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Mzee utumishi hawajakuita kama mimi.Mathematics inasaidia katika maiaha sio sili [emoji16][emoji16][emoji16], wapo watu hata kama mnabishana au mnaelimisha kwa hoja ila unaona ueleewa wake mzuri na point nzuri wakati mwingine, mfano buti la mzungu jana tuielekezan kwa malumbano ya hoja ili wote tuelimishane, ila wewe sijui utawala 2025 hakuna kitu!
Ndio kwanza siku inaanza.... Tusikate tamaa mapemaWiki ngumu sana hii...na leo
Shwaaaaaa
Dah IT sijui kimemkuta nin, sio kawaida yakeNdio kwanza siku inaanza.... Tusikate tamaa mapema
kwa kweliUkiona tu Mwajiri ni
MDA's &. LGA's
Jiandae ku-kontrol presha na magonjwa ya moyo.
Wanatoka mkuu...kuna kada wamefanya 23..walitakiwa 7..mpk sasa wametoka 9..Ukiona tu Mwajiri ni
MDA's &. LGA's
Jiandae ku-kontrol presha na magonjwa ya moyo.
Cha saikolojiaView attachment 3011090bado wapo kwenye kikao
wanafundishwa jinsi ya kuwasoma majobless kisaikolojia wakati wa interview.Cha saikolojia
Hehehehee wangefundishwa kungfu..maana kuna siku mtu kidogo ale makofiwanafundishwa jinsi ya kuwasoma majobless kisaikolojia wakati wa interview.
Duh kwanini aisee wakati sisi hiyo Kuna wengine ndo tunasikilizia kinomanomaUkiona tu Mwajiri ni
MDA's &. LGA's
Jiandae ku-kontrol presha na magonjwa ya moyo.
Wanatoka mkuu...kuna kada wamefanya 23..walitakiwa 7..mpk sasa wametoka 9..
Alafu hii naona inatoa zaidi kuliko taasis moja
Hata mim ndiyo nawasikiliziaDuh kwanini aisee wakati sisi hiyo Kuna wengine ndo tunasikilizia kinomanoma
Kwann sjui inakua ivo😂😂Ukiona tu Mwajiri ni
MDA's &. LGA's
Jiandae ku-kontrol presha na magonjwa ya moyo.
Daaa kwel mtihaniiiHata mim ndiyo nawasikilizia
Ila wahuni Sana.
Wanaudhi Kama Nini yaniKwann sjui inakua ivo😂😂
ilikuaje iyo 🤣 🤣Hehehehee wangefundishwa kungfu..maana kuna siku mtu kidogo ale makofi
Mkuu vp nizime data au niwe live?😃ilikuaje iyo 🤣 🤣