Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mathematics inasaidia katika maiaha sio sili [emoji16][emoji16][emoji16], wapo watu hata kama mnabishana au mnaelimisha kwa hoja ila unaona ueleewa wake mzuri na point nzuri wakati mwingine, mfano buti la mzungu jana tuielekezan kwa malumbano ya hoja ili wote tuelimishane, ila wewe sijui utawala 2025 hakuna kitu!
Mzee utumishi hawajakuita kama mimi.

Unajiona mjanja kupangilia Hoja .

Wakati Pdf ikitoka tunachungulia wote tulia wewe.
 
447977876_456557043682568_8923163717550794402_n.jpg
bado wapo kwenye kikao
 
Back
Top Bottom