Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kitu muhim ni kuingia ndani hata ukiingia km mfagizi fresh tu, vyeti vingine utamtolea mwajiri wako hukohuko
Kwaserikalini kwa sasa ukifanya hivyo utakuwa umepigwa na kitu kizito, watu mwenye DNA moja hufanana sasa why usipambane na level yako ya juu!😁, haya mambo ya kuingia na level za chini afu unaongeza kwa kuleta vyeti vya juu kwamaana unaelimu ya juu yalikuwa zamani, utaweza kwa kulingana na sheria ya na mkataba ya kazi ila utafika umechoka sana!
 
Na ingekuwa ni simple basi hata psrs wasinge sema tumia level yako ya juu kuombea kazi, na wakaweka limitation na kweli huwezi omba ya level ya chini angali profile yako inasoma level ya juu😁, sema nini Mungu ni mkubwa tu…!
 
Kupanga ni kuchagua. Kipi bora upambane ukiwa nje (unapambana na njaa pia) au upambane ikiwa ndani huku unapata icho kidogo.
 
Na ingekuwa ni simple basi hata psrs wasinge sema tumia level yako ya juu kuombea kazi, na wakaweka limitation na kweli huwezi omba ya level ya chini angali profile yako inasoma level ya juu😁, sema nini Mungu ni mkubwa tu…!
Hilo nalijua, nilisema vile kumsapoti jamaa anaetamani kupitia uchochoro wa udereva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…