ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Hawajafika hukoWanaeachukua wengi wanaenda kuwalipa laki 3 tena taasisi ya maana.
Malipo yao safari
Hakuna dereva aliye na check no. Kwa Sasa anayelipwa 300,000.00
hata kama yupo Halmashauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajafika hukoWanaeachukua wengi wanaenda kuwalipa laki 3 tena taasisi ya maana.
Malipo yao safari
wanalipwaga sh ngapi kwani minimumHawajafika huko
Hakuna dereva aliye na check no. Kwa Sasa anayelipwa 300,000.00
hata kama yupo Halmashauri.
😂 unataka kubadili mwelekeo nnwanalipwaga sh ngapi kwani minimum
TGS B.1wanalipwaga sh ngapi kwani minimum
ofkoz.. 🤣😂 unataka kubadili mwelekeo nn
Kitu muhim ni kuingia ndani hata ukiingia km mfagizi fresh tu, vyeti vingine utamtolea mwajiri wako hukohukoNinacheti cha driving ngoja nibadilishie Gia hewani.
Hiyo basics take home.si ndo laki 3 mzeeTGS B.1
450,000.00
Jidanganye haujakutana na HR Mwenye roho ngumuKitu muhim ni kuingia ndani hata ukiingia km mfagizi fresh tu, vyeti vingine utamtolea mwajiri wako hukohuko
Kwaserikalini kwa sasa ukifanya hivyo utakuwa umepigwa na kitu kizito, watu mwenye DNA moja hufanana sasa why usipambane na level yako ya juu!😁, haya mambo ya kuingia na level za chini afu unaongeza kwa kuleta vyeti vya juu kwamaana unaelimu ya juu yalikuwa zamani, utaweza kwa kulingana na sheria ya na mkataba ya kazi ila utafika umechoka sana!Kitu muhim ni kuingia ndani hata ukiingia km mfagizi fresh tu, vyeti vingine utamtolea mwajiri wako hukohuko
Kweli nabii hakubaliki kwao, ndio Psrs na Graduates[emoji3]Daaah bado mambo ni magumu,ila wapo waliolamba asali wakiongozwa na waenda kuweka mafuta. Wengine tupo aluta continua[emoji36][emoji123]
Dah tutarudi na roho zetu kweli[emoji848][emoji848] ntajenga kweli?hakuna jipya mwanangu giza tupu.jana waliachia cha kuzugia [emoji1787] [emoji1787]
Ipo sawa bhnaWeb haifunguk au ni kwangu tu
PDF tukutane jumanne acha watu wale sikukuu.Ipo sawa bhna
jumanne iddi pili jumatano wanaanza kurudi alhamisi wanapumzika ijumaa wanaanza kujivutavuta weekend iyaapa..PDF tukutane jumanne acha watu wale sikukuu.
Nashauri pdf ikae miaka 2
J4 wanatakiwa wawe kazini bhnjumanne iddi pili jumatano wanaanza kurudi alhamisi wanapumzika ijumaa wanaanza kujivutavuta weekend iyaapa..
Kupanga ni kuchagua. Kipi bora upambane ukiwa nje (unapambana na njaa pia) au upambane ikiwa ndani huku unapata icho kidogo.Kwaserikalini kwa sasa ukifanya hivyo utakuwa umepigwa na kitu kizito, watu mwenye DNA moja hufanana sasa why usipambane na level yako ya juu!😁, haya mambo ya kuingia na level za chini afu unaongeza kwa kuleta vyeti vya juu kwamaana unaelimu ya juu yalikuwa zamani, utaweza kwa kulingana na sheria ya na mkataba ya kazi ila utafika umechoka sana!
Hilo nalijua, nilisema vile kumsapoti jamaa anaetamani kupitia uchochoro wa udereva.Na ingekuwa ni simple basi hata psrs wasinge sema tumia level yako ya juu kuombea kazi, na wakaweka limitation na kweli huwezi omba ya level ya chini angali profile yako inasoma level ya juu😁, sema nini Mungu ni mkubwa tu…!
Jumanne sikukuu gani kwani ?jumanne iddi pili jumatano wanaanza kurudi alhamisi wanapumzika ijumaa wanaanza kujivutavuta weekend iyaapa..