Upo sawa, kuna taasis dereva analala na gari hasa madereva wa wakurugenziNadhani nyie mpo halmashauri huko ndio madereva wanaishi kwa ugumu sana maana huko kwanza hawaruhusiwi hata kulaza gari nje ya ofisi dereva akishamshusha kiongozi anarudisha gari afisini, dereva sio muosha magari ila anatakiwa kuhakikisha gari safi anawezeshwa fatilia kwanza kabla ya kubisha
Sio utaratibu ndio maana napinga hoja ya jamaa anarahisisha kua Dereva kulaza gari nyumbani ni kitu inaruhusiwa.Acha ubishi mzee Kuna watu gari za serikali wanalaza majumbani kwako japo sio utaratibu wa serikali
Ni sahihi mkuu ila watu wanabisha na mwisho wa mwezi watu wanaandika dokezo kuomba pesa ya kulaza gari na kuosha, sijawahi kuona dereva wa serikali amekunja suruali anaosha gari labda halmashauri huko ila watu wanabisha.Upo sawa, kuna taasis dereva analala na gari hasa madereva wa wakurugenzi
Ni sahihi mkuu ila watu wanabisha na mwisho wa mwezi watu wanaandika dokezo kuomba pesa ya kulaza gari na kuosha, sijawahi kuona dereva wa serikali amekunja suruali anaosha gari labda halmashauri huko ila watu wanabishaUpo sawa, kuna taasis dereva analala na gari hasa madereva wa wakurugenzi
watu wamevurugwa mkuu utumishi wafanye mamboMunabishana wakati nyie sio madereva😀😀😀😀 joblesss mumevurugwa
Aje dereva wa halmashauri na taasisi watoe ushuhuda nadhani itakua muharubaini
Maana siri ya maiti haijuae muosha😁😁
ila broo mi kuna dereva wa ccm nilishuhudia alikua analala na gari tena landcruiser so sibishiNadhani nyie mpo halmashauri huko ndio madereva wanaishi kwa ugumu sana maana huko kwanza hawaruhusiwi hata kulaza gari nje ya ofisi dereva akishamshusha kiongozi anarudisha gari afisini, dereva sio muosha magari ila anatakiwa kuhakikisha gari safi anawezeshwa fatilia kwanza kabla ya kubisha
Kesho uhakikaTuendelee kusubiri pdf
Mwezi huu jamaa kakaza...Kesho uhakika
Wakati pdf mwezi uliopita zilianza tar 14 au haujafuatilia mzeeMwezi huu jamaa kakaza...
Sijafatilia...tuombe kesho aanze kupiga pass za mwisho kama KDBWakati pdf mwezi uliopita zilianza tar 14 au haujafuatilia mzee
Hiyo basics take home.si ndo laki 3 mzee
Mambo ayo mwemwele mwemwele😂
kesho unalamba asali pinacoladeeMko wap jobless toeni location jaman😂,tupunguze na stess za Psrs
Na mm mbona haunipigii pande jamanikesho unalamba asali pinacoladee
Pdf zijaza mrembo unaingia kwenye taasis.Mko wap jobless toeni location jaman😂,tupunguze na stess za Psrs
wote mtalamba asali 🤣 🤣Na mm mbona haunipigii pande jamani