Professier
Senior Member
- May 5, 2023
- 115
- 190
hongera sana kaka kachukue barua haraka wasije wakagairiTumsifu Yesu Kristo. Wakuu kwa uwezo wa Kristo Yesu nashukuru nimeaga ujobless rasmi na sipo halmashauri. Nilifanya interview mwezi wa nne 2024, hadi sasa nimefanya interview jumla 6. Ila ya sita ndio nilifaulu written, nikafaulu practical na kufika oral. Cha muhimu tusali sana na tusikate tamaa. Ilifika wakati nilifunga sana ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Alichoulizwa na anachojibu ni tofauti kumbe hata wao wanaenda OPP kwenye maswali😂Kutoka twitter....👇
Hongera sanaaa....Ukawe mtumishi mwemaTumsifu Yesu Kristo. Wakuu kwa uwezo wa Kristo Yesu nashukuru nimeaga ujobless rasmi na sipo halmashauri. Nilifanya interview mwezi wa nne 2024, hadi sasa nimefanya interview jumla 6. Ila ya sita ndio nilifaulu written, nikafaulu practical na kufika oral. Cha muhimu tusali sana na tusikate tamaa. Ilifika wakati nilifunga sana ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Hongera sana Prof,hakika Wakati wako umefikaTumsifu Yesu Kristo. Wakuu kwa uwezo wa Kristo Yesu nashukuru nimeaga ujobless rasmi na sipo halmashauri. Nilifanya interview mwezi wa nne 2024, hadi sasa nimefanya interview jumla 6. Ila ya sita ndio nilifaulu written, nikafaulu practical na kufika oral. Cha muhimu tusali sana na tusikate tamaa. Ilifika wakati nilifunga sana ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Milele AminaTumsifu Yesu Kristo. Wakuu kwa uwezo wa Kristo Yesu nashukuru nimeaga ujobless rasmi na sipo halmashauri. Nilifanya interview mwezi wa nne 2024, hadi sasa nimefanya interview jumla 6. Ila ya sita ndio nilifaulu written, nikafaulu practical na kufika oral. Cha muhimu tusali sana na tusikate tamaa. Ilifika wakati nilifunga sana ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Hongera kakahivi ile sehemu ya recommendation letter pale kwenye otther attachment ajira portal ni kwa wale wanaopitisha barua kwa wakurugenzi wao au?
Hongera ndg.Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu kwa uwezo wa Kristo Yesu nashukuru nimeaga ujobless rasmi na sipo halmashauri. Nilifanya interview mwezi wa nne 2024, hadi sasa nimefanya interview jumla 6. Ila ya sita ndio nilifaulu written, nikafaulu practical na kufika oral. Cha muhimu tusali sana na tusikate tamaa. Ilifika wakati nilifunga sana ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Ni sahihi aisee,kuyamaliza kipengeleHapo si ndio wanachukuaga maswali yao magumu na kila topic pale maswali buku hapo ni noma huwez kuyamaliza, practical sikuiz wanazifanya ngumu ngumu kidogo kupunguza watu
Kivipi mkuu?umemaanisha nn?Nilichogundua, utumishi mara nyingi wanapanga kulingana na matokeo ya practical...
Yaan kama practical mmefaulu kumi kuingia oral...na wanahitajika watu 6, bas watabebwa mtu wa 1-6 kulingana na matokeo ya practical...wengine wanaendelea kuitwa kwa mpangilio huoKivipi mkuu?umemaanisha nn?
Ok nimekupata kwani umefuatilia saili nyingi ukaona hilo ?Yaan kama practical mmefaulu kumi kuingia oral...na wanahitajika watu 6, bas watabebwa mtu wa 1-6 kulingana na matokeo ya practical...wengine wanaendelea kuitwa kwa mpangilio huo
Nimefatilia saili 5 za kada moja yenye practical nikaona wanafanya hivyo..Ok nimekupata kwani umefuatilia saili nyingi ukaona hilo ?
😂hawahitaj wafanyakazMbona sioni TCU Wakitangaza ajira jamani?
😂😂😂 unataka kusema huko watu hawastasdu wala kuzeeka wala kufa😂hawahitaj wafanyakaz
🤣🤣labda wanarithishana😂😂😂 unataka kusema huko watu hawastasdu wala kuzeeka wala kufa