Professier
Senior Member
- May 5, 2023
- 115
- 190
Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu kwa uwezo wa Kristo Yesu nashukuru nimeaga ujobless rasmi na sipo halmashauri. Nilifanya interview mwezi wa nne 2024, hadi sasa nimefanya interview jumla 6. Ila ya sita ndio nilifaulu written, nikafaulu practical na kufika oral. Cha muhimu tusali sana na tusikate tamaa. Ilifika wakati nilifunga sana ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.