Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Hivi kwani kuwe na utofauti kati ya app na website?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hapo sasa utumishi ndo wanajua hahhhh usiwe na hofu mzee muce ulikosa lakini jina lilibaki database ndo maana ipo selected forπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hapo sasa utumishi ndo wanajua hahhhh usiwe na hofu mzee muce ulikosa lakini jina lilibaki database ndo maana ipo selected forπŸ˜‚πŸ˜‚
Acha nijifariji na shortlisted yangu ya katika website, siku nikiona na ya MUCE imekuwa shortlisted basi nitaamini status hazina kazi
 
Nasema hivyo kwasababu kuna mdau wangu ilimuuma sana alipoona PDF hayumo na alikuwa hafanyi chochote zaidi ya kuisubiria lkn kumbe alikuwa database akasahau anashangaa ile PDF ya taasisi mbalimbali yumo wakati huo alikuwa anauza zake genge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] saivi mlamba asali
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mambo ya kazi ni mipango ya Mungu kwahiyo tuamini tu hayo mengine tumuachie yeye
 
Kweli kaka yaani siku ukisema unazipotezea ndio unaona mambo yanatick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…