Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Hongera D kila la kheri ktk utumishi wakoLeo nimechukuwa barua yangu psrs, dah! nimefungua huku natetemeka.
Kwa walichoandika ndani ni kwamba saili niliyofanya mwezi wa pili mwaka huu ndio imeniokoa.
Sasa naenda kuripoti kwa HR
Hakika.yale majengo ya psrs na baridi la asubuhi nitayamisi sana.
Msikate tamaa, endeleeni kufanya saili kadri zinavyotoka.
😂😂😂I cant wait to open mine,sijui ni lini itakua spati pichaaaaLeo nimechukuwa barua yangu psrs, dah! nimefungua huku natetemeka.
Kwa walichoandika ndani ni kwamba saili niliyofanya mwezi wa pili mwaka huu ndio imeniokoa.
Sasa naenda kuripoti kwa HR
Hakika.yale majengo ya psrs na baridi la asubuhi nitayamisi sana.
Msikate tamaa, endeleeni kufanya saili kadri zinavyotoka.
Amen.Eeh Mungu tusaidie watoto wako placement zijazo nasi tuwepo
Hahhaha pina unasubir kada gani vile ukute mhanga mwenzangu ww😂😂😂I cant wait to open mine,sijui ni lini itakua spati pichaaaa
Ni kuomba mungu tuEeh Mungu tusaidie watoto wako placement zijazo nasi tuwepo
Asante sana mkuu, nakuombea na wewe upateHongera D kila la kheri ktk utumishi wako
Oral inaangaliwa zaid pia labda bdo ypo databaseNimekuja kugundua hawa jamaa wa psrs wanaconsider matokeo ya oral tu siyo mchujo.
Enterview nilifanya na mwamba alpata 98% practical amekosa placement ya juzi ya tanroad na pia kakosa TRC, hapo nazani oral hakufaulu vizuri.
Tupe siri ya kufaulu oral mkuu?Nimekuja kugundua hawa jamaa wa psrs wanaconsider matokeo ya oral tu siyo mchujo.
Enterview nilifanya na mwamba alpata 98% practical amekosa placement ya juzi ya tanroad na pia kakosa TRC, hapo nazani oral hakufaulu vizuri.
Hawa jamaa sijui wanakanuni gani naona ni siri yao kwenye oral..Nimekuja kugundua hawa jamaa wa psrs wanaconsider matokeo ya oral tu siyo mchujo.
Enterview nilifanya na mwamba alpata 98% practical amekosa placement ya juzi ya tanroad na pia kakosa TRC, hapo nazani oral hakufaulu vizuri.
Mimi nilipiga Oral moja tu nikapata kazi direct kabla ya hapo nilifanya interview 4 sikuwahii kufika Oral.Nilichojifunza kwenye Oral ni Kujibu Kwa CONFIDENCE na mwonekano wako,,,usipendezee saaana ila uwe smart,Kuna maswalii nilikuwa sijuii ila nilikuwa najibu tuu,kama swali ni la kufikiria namwambia arudie swalii Muda huo nafikiriiaTupe siri ya kufaulu oral mkuu?
interview ni oral written ni mchujo ili uingie ora
Ila practical interview inajumlishwa na Oral interview lakinii ni pale tuu unapokuwa umefaulu Oral kwa hiyo hata ukipata 98% practical ila ukashindwa kufikisha 50% kwenye Oral maake hapo umefelii na maksi yako ya practical hayakusaidii chochoteinterview ni oral written ni mchujo ili uingie oral
Mimi sijawahi kushindwa hata swali moja. Kwenye oral, ila practical nilipata maksi mbovu sana..Hawa jamaa sijui wanakanuni gani naona ni siri yao kwenye oral..
Unaweza kuta jamaa atalamba asali tamu kwenye Taasisi mpaka hataamini kutokea database
Hadii Ile oral ya carpentry ulijibu maswalii yotee mkuuMimi
Mimi sijawahi kushindwa hata swali moja. Kwenye oral, ila practical nilipata maksi mbovu sana..
Ile nilijibu chapu sana.. maswali yote tuliscuss pale nje na yule dada bonge.Hadii Ile oral ya carpentry ulijibu maswalii yotee mkuu
Mkuu kada gani hii mtu anapiga 98 practicalNimekuja kugundua hawa jamaa wa psrs wanaconsider matokeo ya oral tu siyo mchujo.
Enterview nilifanya na mwamba alpata 98% practical amekosa placement ya juzi ya tanroad na pia kakosa TRC, hapo nazani oral hakufaulu vizuri.
Factinterview ni oral written ni mchujo ili uingie oral