Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Hongera D kila la kheri ktk utumishi wakoLeo nimechukuwa barua yangu psrs, dah! nimefungua huku natetemeka.
Kwa walichoandika ndani ni kwamba saili niliyofanya mwezi wa pili mwaka huu ndio imeniokoa.
Sasa naenda kuripoti kwa HR
Hakika.yale majengo ya psrs na baridi la asubuhi nitayamisi sana.
Msikate tamaa, endeleeni kufanya saili kadri zinavyotoka.