Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Leo nimechukuwa barua yangu psrs, dah! nimefungua huku natetemeka.
Kwa walichoandika ndani ni kwamba saili niliyofanya mwezi wa pili mwaka huu ndio imeniokoa.
Sasa naenda kuripoti kwa HR
Hakika.yale majengo ya psrs na baridi la asubuhi nitayamisi sana.
Msikate tamaa, endeleeni kufanya saili kadri zinavyotoka.
Hongera D kila la kheri ktk utumishi wako
 
Leo nimechukuwa barua yangu psrs, dah! nimefungua huku natetemeka.
Kwa walichoandika ndani ni kwamba saili niliyofanya mwezi wa pili mwaka huu ndio imeniokoa.
Sasa naenda kuripoti kwa HR
Hakika.yale majengo ya psrs na baridi la asubuhi nitayamisi sana.
Msikate tamaa, endeleeni kufanya saili kadri zinavyotoka.
😂😂😂I cant wait to open mine,sijui ni lini itakua spati pichaaaa
 
Nimekuja kugundua hawa jamaa wa psrs wanaconsider matokeo ya oral tu siyo mchujo.
Enterview nilifanya na mwamba alpata 98% practical amekosa placement ya juzi ya tanroad na pia kakosa TRC, hapo nazani oral hakufaulu vizuri.
 
Oral inaangaliwa zaid pia labda bdo ypo database
 
Nimekuja kugundua hawa jamaa wa psrs wanaconsider matokeo ya oral tu siyo mchujo.
Enterview nilifanya na mwamba alpata 98% practical amekosa placement ya juzi ya tanroad na pia kakosa TRC, hapo nazani oral hakufaulu vizuri.
Hawa jamaa sijui wanakanuni gani naona ni siri yao kwenye oral..
Unaweza kuta jamaa atalamba asali tamu kwenye Taasisi mpaka hataamini kutokea database
 
Tupe siri ya kufaulu oral mkuu?
Mimi nilipiga Oral moja tu nikapata kazi direct kabla ya hapo nilifanya interview 4 sikuwahii kufika Oral.Nilichojifunza kwenye Oral ni Kujibu Kwa CONFIDENCE na mwonekano wako,,,usipendezee saaana ila uwe smart,Kuna maswalii nilikuwa sijuii ila nilikuwa najibu tuu,kama swali ni la kufikiria namwambia arudie swalii Muda huo nafikiriia
 
Or
interview ni oral written ni mchujo ili uingie ora

interview ni oral written ni mchujo ili uingie oral
Ila practical interview inajumlishwa na Oral interview lakinii ni pale tuu unapokuwa umefaulu Oral kwa hiyo hata ukipata 98% practical ila ukashindwa kufikisha 50% kwenye Oral maake hapo umefelii na maksi yako ya practical hayakusaidii chochote
 
Hawa jamaa sijui wanakanuni gani naona ni siri yao kwenye oral..
Unaweza kuta jamaa atalamba asali tamu kwenye Taasisi mpaka hataamini kutokea database
Mimi sijawahi kushindwa hata swali moja. Kwenye oral, ila practical nilipata maksi mbovu sana..
 
Nimekuja kugundua hawa jamaa wa psrs wanaconsider matokeo ya oral tu siyo mchujo.
Enterview nilifanya na mwamba alpata 98% practical amekosa placement ya juzi ya tanroad na pia kakosa TRC, hapo nazani oral hakufaulu vizuri.
Mkuu kada gani hii mtu anapiga 98 practical
 
Back
Top Bottom