Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

veta siyo local bhana! wapo chini ya wizara ya elimu nazani mpo chini ya tamisemi japo nyie mishahara yenu minono, mimi nilikosa VETA japo oral nilifika
VETA ipo chini ya wizara ya elimu siyo Tamisemi mkuu upo sahihi
 
Halmashauri hauwezi kuishi bila mkopo.

Kwanza mshahara mdogo sana.

Inabidi ufanye jambo nje na kutegemea mshahara kama kilimo au biashara
pdf la leo nimeona watu wa health naona umemshukuru mungu kutokuwepo humo 🤣 🤣
 
Daaah hatarii Sana Mkuu,Mimi nilipata VETA juzii nikaona tupo local government ndio maana nilikuwa naogopa coz mmesema LGA pote mambo ni hayo hayo
VETA Haiko local government, VETA ni mamlaka ya elimu ya ufundi na mafunzo stadi iliyo chini ya wizara ya elimu na scale zao ziko tofauti na wale local government
 
Mbaga Jr nafasi yako ya TBC hii photojournalist umesha apply
Hy inataka degree afu mm nna diploma.
Hvy nataka kuomba ile ya assistant producer, imenikubalia kuomba japokuwa nimefanya usanii kdg mana qualifications ambazo zipo ninazo ila nashangaa inanikatalia hvy nikaweka kuwa nna diploma in fine arts ila pale kwenye kuweka chet nikaweka cheti changu cha diploma in Film production ndio ikakubali sasa cjui wataniita kwenye interview au vp
 
Hongereni mliopata placements na ambao bado ombeni mpate sehemu nzuri kuna sehemu unaenda dah aisee majanga unakuta watu wa mikataba wananguvu kuliko hata wa. Kutumu na ndio machawa hasa wa mamboss full kukulengesha sehemu sio halafu wananenda kukulipua kwa wakubwa huko
 
nimeona leo tbc wametoa jina kwenye pdf unaweza shangaa siku umejiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…