😂😂😂😂Tuishi humo hahhhKuna mwamba wamba kapata za TRA kanitumia status ilivokua kwenye a
Hyo ilikua kule kwenye app😂😂😂😂Tuishi humo hahhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa wewe ndo umekuja na majibu yakueleweka tukutane kazini
😂😂😂😂Asa kwenye app Kuna hiyo mpya huandikiwi selected for oaralHyo ilikua kule kwenye app
😂😂😂😂😂Jtatu naenda kazini barua itanikuta huko huko mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kaanze kula overtime
Hapo mwanangu tumelambwa knokout selected for oral na shortlisted hatuna chetu😂😂😂😂Asa kwenye app Kuna hiyo mpya huandikiwi selected for oaral
Kuna selected for pekeake 😂😂😂Utumishi wamejua kutuchanganya hahhh
😂😂😂😂Hapa tunavuta muda tu uende hizi status hazina maanaHuu mjadala wa status tuliuhitimisha naona mnauleta kwa kasi ya mwanga.
Mimi nikitoka kwenye battle la kesho, sitahangaika na status, nitaiacha ijigeuze itakavyo, PDF(placement) ndio kitakuwa kitu pekee cha kukitolea macho
Sawa sawaNilivyotonywa hapo kuna uwezekano upo selected for na ukaitwa kazini ni uharaka na uhitaji ila inapokuja kuwa shortlisted maana yake ni mchakato umekamilika asilimia zote subiri placement au kutokea kanzi data kupitia taasisi hata nyingine kulingana ufauli wako
😂😂😂😂😂Kumbe Kuna status nyingine zaidi ya hizi ??hahhhh tushakufaHapo mwanangu tumelambwa knokout selected for oral na shortlisted hatuna chetu
😂😂Kwa hiyo sis wa selected for oral na number chini tumekandwa?🤣🤣🤣
Hatuna chetuKwa hiyo sis wa selected for oral na number chini tumekandwa?🤣🤣🤣
Amna hapo mchakato bado unaendelea kumbe hamjaelewa😂Hatuna chetu
Mchakato gn kwamba kuna oral nyingne?🤣🤣Amna hapo mchakato bado unaendelea kumbe hamjaelewa😂
Hapo bado hawajafinalize Yani😂mbona unapagawa hahhhMchakato gn kwamba kuna oral nyingne?🤣🤣
Haya maelezo umeytoa wp mzee ie.source?Na kuwa selected for haimanishi umepata wala haimanishi umepata wala haimanishi umekosa ila mchakato wenu upo na upo katka idadi ya walifanya oral
Kuwa shirtlisted uwezekano wa kupata ama kukosa ila mchakato umekamilika na hata ukikosa itahifadhiwa kanzi data kwa matumizi ya baadae kulingana na muda wao
Naona tusubiri pdf tuNa kuwa selected for haimanishi umepata wala haimanishi umepata wala haimanishi umekosa ila mchakato wenu upo na upo katka idadi ya walifanya oral
Kuwa shirtlisted uwezekano wa kupata ama kukosa ila mchakato umekamilika na hata ukikosa itahifadhiwa kanzi data kwa matumizi ya baadae kulingana na muda wao