hivyo vitakusaidia mbeleni, ajira portal wanataka vya training na work experience...japo na vyenyewe huonyeshi ukiwa unaenda kukandwaHivi kuna sehemu ya kuweka vyeti vya pongezi, mfano (best student in bla bla) ajira portal?.
Au watu walipewa kama mapambo?.
vya work experience unaweka wapihivyo vitakusaidia mbeleni, ajira portal wanataka vya training na work experience...japo na vyenyewe huonyeshi ukiwa unaenda kukandwa
Hivi kuna sehemu ya kuweka vyeti vya pongezi, mfano (best student in bla bla) ajira portal?.
Au watu walipewa kama mapambo?.
haha sawa mkuu.hivyo vitakusaidia mbeleni, ajira portal wanataka vya training na work experience...japo na vyenyewe huonyeshi ukiwa unaenda kukandwa
noma sana.Best students si ndiyo Hawa wanaopata written interview 30%
Hivyo vyeti kwenye utumishi sijui.
Sa 12 si ndo hii,au nizime data tu?airtel 5g
πππ€£π€£π€£nmecheka kama chizBest students si ndiyo Hawa wanaopata written interview 30%
Hivyo vyeti kwenye utumishi sijui.
leo sidhaniSa 12 si ndo hii,au nizime data tu?
π«π«π«π«agrrrrrrrrrhleo sidhani
Kutoa tena pdf kama la tar 6 lenye angalau majina kama 200 sjui lini aiseeeπ«π«π«π«π«agrrrrrrrrrh
Siumekutana nao kwenye mkando lakinππππ€£π€£π€£nmecheka kama chiz
Sijaona hiyo sehemu na sioni umuhimu wake mbele ya PSRS.Hivi kuna sehemu ya kuweka vyeti vya pongezi, mfano (best student in bla bla) ajira portal?.
Au watu walipewa kama mapambo?.
Hivyo vyeti ni vya kuwaonyesha watoto zko na wajukuu ukiwatambia ulikua the best kwenye mathematics may be π€£..kule oral ndo itadermine wakusweke wapi tena kama bahati si yako basi ndo unakaaa we kuisubir bahati yakoBest students si ndiyo Hawa wanaopata written interview 30%
Hivyo vyeti kwenye utumishi sijui.
Mkando hauna baunsa.Siumekutana nao kwenye mkando lakinπ
Yani kule bhna daah hakuna mwenyewe ni Mungu tu aiseeSiumekutana nao kwenye mkando lakinπ
ππHivi kuna sehemu ya kuweka vyeti vya pongezi, mfano (best student in bla bla) ajira portal?.
Au watu walipewa kama mapambo?.
π€£π€£π€£, dah hatari.ππ
Umenikumbusha 2021 Rais Samia alivoingia madarakani na kusema watu wapate chanjo ya corona, kipindi hicho hicho nikaitwa interview nikaona hapo ngoja nikapate chanjo ili nionekane naunga mkono juhudi za Rais Samia na nikakusudia kuwaambia kuwa nimechanja π
Sasa kabla ya interview wakaniuliza vipi uko poa? Nikajibu siko poa sana mana kichwa kinauma mana jana nimetoka kupata chanjo ya corona nikajibiwa haya poa jikaze π
Pdf ilipotoka nikalambishwa mchanga π
Mbinu zote za ndani na nje ziligonga mwamba ππ€£π€£π€£, dah hatari.
Pamoto sana kuleπ,na chanjo ukachoma lakini wapi,da Mungu tusaidie vita ni vikali sanaaaMbinu zote za ndani na nje ziligonga mwamba π