No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
hivyo vitakusaidia mbeleni, ajira portal wanataka vya training na work experience...japo na vyenyewe huonyeshi ukiwa unaenda kukandwaHivi kuna sehemu ya kuweka vyeti vya pongezi, mfano (best student in bla bla) ajira portal?.
Au watu walipewa kama mapambo?.