Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Best students si ndiyo Hawa wanaopata written interview 30%
Hivyo vyeti kwenye utumishi sijui.
Hivyo vyeti ni vya kuwaonyesha watoto zko na wajukuu ukiwatambia ulikua the best kwenye mathematics may be 🤣..kule oral ndo itadermine wakusweke wapi tena kama bahati si yako basi ndo unakaaa we kuisubir bahati yako
 
Hivi kuna sehemu ya kuweka vyeti vya pongezi, mfano (best student in bla bla) ajira portal?.
Au watu walipewa kama mapambo?.
😂😂

Umenikumbusha 2021 Rais Samia alivoingia madarakani na kusema watu wapate chanjo ya corona, kipindi hicho hicho nikaitwa interview nikaona hapo ngoja nikapate chanjo ili nionekane naunga mkono juhudi za Rais Samia na nikakusudia kuwaambia kuwa nimechanja 😂

Sasa kabla ya interview wakaniuliza vipi uko poa? Nikajibu siko poa sana mana kichwa kinauma mana jana nimetoka kupata chanjo ya corona nikajibiwa haya poa jikaze 😂

Pdf ilipotoka nikalambishwa mchanga 😂
 
🤣🤣🤣, dah hatari.
 
Back
Top Bottom