Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama yupi uyo alikua afisa mtendaji baada ya miaka kumi akawa mkurugenzi wa idara? Usiongee kwa mihemko
 
Daaah aisee tabu sio powa. Kuna watu nawafahamu walilamba asali mwaka jana mwezi wa kumi na mwingine kalamba asali mwaka huu 2024 mwezi wa 2. Wameripoti kazini ila hadi leo wapo kitaa wameambiwa wasubirie watapigiwa simu.
Ni kipengele na hata maokoto yao ni peanuts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…