Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Confidence comes from good preparation ✨️Confidence tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Confidence comes from good preparation ✨️Confidence tu
Wastopishe tena,why?hizo tarehe uhakika hivi unajua utumishi wapo 77 mpaka tar 13 baada ya hapo tutawaandikia barua wastopishe pdf
zitakua ni nyingi mno mpaka tutaomba poo🤣 🤣Wastopishe tena,why?
nakumbuka interview yangu ya kwanza nilitetemekaga kidogo nijinyee alafu baada ya kutoka nikaanza kujicheka🤣🤣Confidence comes from good preparation ✨️
Labda pdf za halmashauri..watendaji na drivers, maana ndio wanakandwazitakua ni nyingi mno mpaka tutaomba poo🤣 🤣
Kule ni kama halmashaur tuKwa nini unasemaa hivyo mzee??
Ni kama halmashaur tu kuleunataka kusema kwenye SGR akuna asali. 🤣 🤣
Kuhama sio rahisi kihivyo kama unavyodhaniBora upate popote pale kuliko kukosa kabisa...atapambana
Kama yupi uyo alikua afisa mtendaji baada ya miaka kumi akawa mkurugenzi wa idara? Usiongee kwa mihemkoHili ndio tatizo letu vijana wengi, tunapenda shortcut na kuaminishana katika kupata ajira yenye asali ya kutosha. Anza na kile kilicho mbele yako kuna watu wanapambana mtaani kuzipata nafasi za afis mtendaji wa kijiji na baada ya miaka 10 au 15 unakuta ni mkurugenzi wa halmashauri au mkuu wa idara flan. Maisha ni process na kila mmoja anamapito yake, stay positive!!
duhh kumbe.umewahi kufanya au umeskia malalamiko ya wadauNi kama halmashaur tu kule
Mkuu bora kupata kuliko kukosa...Kuhama sio rahisi kihivyo kama unavyodhani
Ni kipengele na hata maokoto yao ni peanutsDaaah aisee tabu sio powa. Kuna watu nawafahamu walilamba asali mwaka jana mwezi wa kumi na mwingine kalamba asali mwaka huu 2024 mwezi wa 2. Wameripoti kazini ila hadi leo wapo kitaa wameambiwa wasubirie watapigiwa simu.
Nina dhambi gani mpaka nifanye ukoduhh kumbe.umewahi kufanya au umeskia malalamiko ya wadau
Ni kweli, lakini TRC ni hatari kama ukomaMkuu bora kupata kuliko kukosa...
We jamaa unatu enjoy joblessNina dhambi gani mpaka nifanye uko
Toka 2014 ulivyo join mpaka leo ni jobless tu?We jamaa unatu enjoy jobless
Hapana...Toka 2014 ulivyo join mpaka leo ni jobless tu?
Aaah huna hata mwaka !!! RelaxHapana...
Toka mwaka jana august mpk leo
🤣 🤣 kwahiyo huko ni jehanam sioNina dhambi gani mpaka nifanye uko
mimi naona nimekaa miaka...kukaa maskani ni kipajiAaah huna hata mwaka !!! Relax