Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
🤣🤣🤣🤣Halmashauri watengenezewe site yao
Serikaki inafanyia kazi maoni ya wadau kwamba ajira zote zije psrs ili kukwepa upendeleo,so acheni watendaji nao watendewe haki maana mchakato ukiwa kule kuna watu wanapachika watu waoHalmashauri watengenezewe site yao
Yaan wawe na page yao...kama ilivyo portal..watengenezewe LGA siteSerikaki inafanyia kazi maoni ya wadau kwamba ajira zote zije psrs ili kukwepa upendeleo,so acheni watendaji nao watendewe haki maana mchakato ukiwa kule kuna watu wanapachika watu wao
😀😀😀😀....Best students si ndiyo Hawa wanaopata written interview 30%
Hivyo vyeti kwenye utumishi sijui.
Sababu ya kuwatenga?Yaan wawe na page yao...kama ilivyo portal..watengenezewe LGA site
Tunaclick hz pdf zao hatukuti kada zetu Mb zinaenda bure....bora kuwe na sehem yao ya matangazo...wapewe link yao...hahahaaaSababu ya kuwatenga?
Maana ata nyinyi mnapelekwa huko huko halmashauri😀😀
😀😀😀...Halmashauri watengenezewe site yao
Si unaweka link tu apo...ajira za halmashauri...mtu akiingia anazikuta uko😀😀😀...
Unamaanisha turudi nyuma meter 100 kama Taifa!!!!
Ungekuwa Kenya unasema hivyo Gen Z wangepiga kura humuhumu kukufutia uraia wako...
halafu wamewasha mpaka na vimuimuli ambavyo walivizimaHalmashauri zimeshajaza ubao uko...tukaongez
Sema hivi....Kwa upande wa software bado tupo nyuma sanaaa....Application yao ukifungua inamapungufu Mengi sijui wanafatilia au wanazingatia per diem tuSi unaweka link tu apo...ajira za halmashauri...mtu akiingia anazikuta uko
Jikaze mkuu😔Hv watu wote humu tumejazana kina kajamba nan...tumeshindwa kumpata anaeweka pdf awe anatupa ratiba...
Binafsi nikisubir pdf halafu halitoki naumia sana
Hivi halmashauri uwa wanaitwaga watu wao kwa pdf kama ileJikaze mkuu[emoji17]
Sjawahi kuonaHivi halmashauri uwa wanaitwaga watu wao kwa pdf kama ile
Hii issue nadhani mpaka uwapigieHabari za jioni wadau. Nina mdogo wangu amekosea kuupload cheti cha form 4 kaweka cha form 6 tumeshindwa kutoa zile attachment anaeweza tafadhali nahitaji Msaada wenu nimekwama kabisa au kama Kuna mtu anajua namna ya kutatua changamoto hii
Unatoa tuu mkuu sema changamoto ukirudia unaona kama vile haijabadilika kumbe unakuta tayariiHabari za jioni wadau. Nina mdogo wangu amekosea kuupload cheti cha form 4 kaweka cha form 6 tumeshindwa kutoa zile attachment anaeweza tafadhali nahitaji Msaada wenu nimekwama kabisa au kama Kuna mtu anajua namna ya kutatua changamoto hii
we weka tu cheti kinachostaili kitareplace ila kufuta pale huwezi kukifutaHabari za jioni wadau. Nina mdogo wangu amekosea kuupload cheti cha form 4 kaweka cha form 6 tumeshindwa kutoa zile attachment anaeweza tafadhali nahitaji Msaada wenu nimekwama kabisa au kama Kuna mtu anajua namna ya kutatua changamoto hii