El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
naona civil wanatamba tu. ila bora sie aisee mechanical ndo sikumbuki mara ya mwisho liniKaroho kananiuma kweli yan leo nmeamka nina kitu kweny roho hapa sijui Engineer wa umeme tumewafanya nn utumishi dah
Nikiwa naangalia mkeka yaan macho yote nayatoa yan ila patupuuuu yan iyo siku naona jina langu hahahahhaha ntapga yowee utumishi wasikienaona civil wanatamba tu. ila bora sie aisee mechanical ndo sikumbuki mara ya mwisho lini
Alhamdulilah! NAMI nimefanikiwa kulamba asali Leo.
Shukrani za dhati kwa Mwifwa ,mfwende sawadogo na wengine wote tuliokuwa tunapeana moyo hapa jukwaani
hongereni aisee haikua rahisiHabari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Engineers tu wanatoka mmoja mmoja sana....civil wenyewe anatoka mmoja mmoja....lkn naimani watafikiwa woteNikiwa naangalia mkeka yaan macho yote nayatoa yan ila patupuuuu yan iyo siku naona jina langu hahahahhaha ntapga yowee utumishi wasikie
Amiina Inshallah wacha niendelee kuwa na subraEngineers tu wanatoka mmoja mmoja sana....civil wenyewe anatoka mmoja mmoja....lkn naimani watafikiwa wote
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hivi watapigwa hii kitu kweli, hawa si watumishi wa kawaida tu hapo Wizarani
Ipo siku yetu tutashangilia na sisi, wakati wetu badoo ila upo karibuuu kufika.Yaani kila siku huwa najiuliza au kwasababu huwa napost humu JF kuhusu kupata ajira hizi za utumishi ndio maana kila pdf likitoka sioni jina langu.
Lakini bado sijakata tamaa naamini MUNGU atatenda miujiza na mm jina langu litatokea kwy pdf ya placement Ameen.
Utumishi pia kama kuna namna tunawakosea humu tunaombe mtusamehe sisi ni watoto wawakulima ni mihemko tu, tunaomba sana wakuu(PSRS) mtuonee huruma, inauma sana unapoona mliofanya nao interview wanapata ajira alafu ww kila pdf haoni jina lako.
Ameen.Ipo siku yetu tutashangilia na sisi, wakati wetu badoo ila upo karibuuu kufika.
Hongera sana. Jiandae na depo la miezi mitatu kama sehemu ya induction 😁 😁 😁
Hongera sana. Jiandae na depo la miezi mitatu kama sehemu ya induction 😁 😁
👍👍😁🏃Hongera sana. Jiandae na depo la miezi mitatu kama sehemu ya induction 😁 😁 😁
Asante CaptainHongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
Asante Sana mwifwaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Kada yangu kila siku naiona kwa mkeka tena wanatumia database yangu.hongereni aisee haikua rahisi
Mniombee.Kada yangu kila siku naiona kwa mkeka tena wanatumia database yangu.
Jina langu ndo silioni
Hongera kakaAlhamdulilah! NAMI nimefanikiwa kulamba asali Leo.
Shukrani za dhati kwa Mwifwa ,mfwende sawadogo na wengine wote tuliokuwa tunapeana moyo hapa jukwaani
hii ni kama ridhiki, kila mtu na yake...tuzidi kuvumilia tuHuu mwezi usipoliona jina lako haulioni
Ahsante sana kkHongera kaka
wewe mi nimeshakwambia huwezi kupata kazi utumishi acha ubishi ni bora ukawe mpishi kama shishiInamaana Hawa wanaoitwa kwenye kada yangu walifanya vizuri kunizidi?! Mungu nikumbuke nami
Wewe ndo Mungu.wewe mi nimeshakwambia huwezi kupata kazi utumishi acha ubishi ni bora ukawe mpishi kama shishi