Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Alhamdulilah! NAMI nimefanikiwa kulamba asali Leo.
Shukrani za dhati kwa Mwifwa ,mfwende sawadogo na wengine wote tuliokuwa tunapeana moyo hapa jukwaani
Habari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
hongereni aisee haikua rahisi
 
Yaani kila siku huwa najiuliza au kwasababu huwa napost humu JF kuhusu kupata ajira hizi za utumishi ndio maana kila pdf likitoka sioni jina langu.

Lakini bado sijakata tamaa naamini MUNGU atatenda miujiza na mm jina langu litatokea kwy pdf ya placement Ameen.

Utumishi pia kama kuna namna tunawakosea humu tunaombe mtusamehe sisi ni watoto wawakulima ni mihemko tu, tunaomba sana wakuu(PSRS) mtuonee huruma, inauma sana unapoona mliofanya nao interview wanapata ajira alafu ww kila pdf haoni jina lako.
 
Ipo siku yetu tutashangilia na sisi, wakati wetu badoo ila upo karibuuu kufika.
 
Back
Top Bottom