Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Mwaka umeisha ofu yanguHiyo idadi ni kubwa sana lazima foleni ifuatwe kulingana na marks za Oral.
Marks za Oral ni 50+, kama wengi mumepata mathalani 55, wataanza kuzingatia vigezo kama jinsia, umri, ulemavu katika kuwapangia nafasi zikitoka
Wamechukua 70 mpaka sasa ndani ya miezi miwili.Watu 150+ oral...duh hii idadi kubwa sana
Ndio wewe hujawah ona post readvirtised mfano niliona Kada moja hvWamechukua 70 mpaka sasa ndani ya miezi miwili.
Hivi ni kweli kuna watu wanafeli oral
Ila naona database wanachukua zaidi ya mwaka maana kuna mshkaji kapata last month na mara ya mwisho kufanya oral ni June 2022Mwaka umeisha ofu yangu
Bas vumilia tuWamechukua 70 mpaka sasa ndani ya miezi miwili.
Hivi ni kweli kuna watu wanafeli oral
Kwel mkuu,nilikua busy nafata barua yangu jmn,hekaheka za apa na pale🤣🤣🤣🤣pinacoladee dom sasa hivi anasubiri kesho akanyanyue kombe
Mm jmn Sjachat nae pm,msg zenyew za pm sielewag kbs😂...mm focus yang kubwa ilikua kwnye huu uzi tuTumetoka nae muda mrefu na kumbuka ila yule jamaa aliyemwita pm vepee
Umelamba wap...taasis..wizaraMm jmn Sjachat nae pm,msg zenyew za pm sielewag kbs😂...mm focus yang kubwa ilikua kwnye huu uzi tu
Mkuu nmeshalamba asali,unataka unipe nini tena🤣🤣🤣🤣Au tukupe vitu vingine vya kulamba? 🤣
UTAVIWEZA LAKIN?
Asali ni asali tu,ila ile itakua og nyie🤣🤣🤣Umelamba wap...taasis..wizara
🤣🤣🤣🤣daaah we Acha tu mkuu,mm nawambia nilipata na kahoma mnadhan utaniPinacoladee leo unapita hum kimya kimya tena usiku?
Taasis hyo🤣🤣Asali ni asali tu,ila ile itakua og nyie🤣🤣🤣
Sorry, hiv mpk mtu anachukua PCB au HGL hajui anataka kuwa nani?
Anyway, waulize wanapenda nn ndio wasomee hicho maana kumlazimisha mtu kitu cha kusoma atakuja kukulaum bure...soko la ajira ni gum
HONGERA mkuu ndo narudisha toroli la miwa hapa rangi tatu, naingia nakuta Elmarabiosh ananijuza. Hongera sanaUsingizi ulikata kwa muda mrefu sana,busy na website ya PSRS km waliniajir nihesabu visitors..cha ajabu siku limetok pdf ndo sku skuona na nlichelewa kuliona na skua na bundle mpk mtu kaja kunipigia simu [emoji1787][emoji1787]
Ungechelewa kidogo ungekuta ushalambiwa asali😀😀Kwel mkuu,nilikua busy nafata barua yangu jmn,hekaheka za apa na pale🤣🤣🤣🤣
Ungechelewa kidogo ungekuta ushalambiwa asali😀😀Kwel mkuu,nilikua busy nafata barua yangu jmn,hekaheka za apa na pale🤣🤣🤣🤣
Nikikujibu, hutakaa ufanyie mzaha maisha ya watu tena.Majina yenu halis nishayajua. Kila kitu namaliza hamna haja ya Cv wala cheti
Kwan ukisema umechati naye Kuna shida jamani 🥴🥴🥴Mm jmn Sjachat nae pm,msg zenyew za pm sielewag kbs😂...mm focus yang kubwa ilikua kwnye huu uzi tu
GPA kubwa ziko private wasijichanganye vyuo vya serikali😀Course sijajua ila waambie waaply chuo ambacho kidogo ni rahisi kupata GPA kubwa itawasaidia mbele ya safari.. sio lazima lakin honestly GPA kubwa ni hazina!