Itawezekanage angali kila harimashauri inaleta tangazo psrs kwa muda wao, wakileta pamoja inawezekana 😁😁Hivi huyo IT kwa nini asichukue hizo pdf zote akaziunganisha kwenye pdf moja ,sasa Kila siku harmashauri mpk inakuwa kero ili mradi tu Kila siku waonekane Wanatoa matangazo ya ajira .. sasa mbona kada zingine hawatoi.
Watatusumbua jamaniI
Itawezekanage angali kila harimashauri inaleta tangazo psrs kwa muda wao, wakileta pamoja inawezekana [emoji16][emoji16]
Hii bado sio sababu, wanaeza yakusanya matangazo kadhaa labda ndani ya mwezi watoe tangazo moja na usaili uwe mmoja tu then wawapangie vituo vya kazi, baadae hata zikija halmashauri zingine wanaeza tumia database tu kawapangia vituo vya kazi, hii itapungusa sana usumbufu na gharama kwao utumishi na wasailiwa pia ambao wamekua wahanga wakubwa kwenye hizi harakatiI
Itawezekanage angali kila harimashauri inaleta tangazo psrs kwa muda wao, wakileta pamoja inawezekana 😁😁
wanakusanya hayo matangazo kwa kipindi flani then wanatengeneza pdf moja hii inawafanya waonekane smartI
Itawezekanage angali kila harimashauri inaleta tangazo psrs kwa muda wao, wakileta pamoja inawezekana 😁😁
Ila pdf sio fair tuna wilaya zaidi ya 120 Tanzania zote mkianza Ku display ajira za watendaji itakuaje?Leo ndio tumeachwa na pdf la watendaji tu...
We endelea na mawazo yako mgando, watu tunapata utumishi taasisi kubwa tu bila ya kumjua mtu wala mganga.Mm nina mwamba nilikuwa na nafanya nae kazi dar siku moja kaniambia mzee ajira zikitoka lazima nipate taasisis kubwa tu nikambishia.
Majina kutoka jina lake la kwanza.
Kufuatilia kumbe ana ndugu yake alimpa paper la oral hadi written na wakambeba kwenye interview.
Mm nina jamaa yangu kutwa kuwasiliana na wabunge jina lake kwenye database walipeleke taasisi juzi majina yametoka kwenda wizara Ana mind kinyama ndo kila siku ananishtua na kuniambia wanaweza kumwita tena kwa taasisi wakubwa wanampambania.
Interview gereshi.
Sasa interview ndo useme zifanyiwe mkoani unadhani mambo yatakuwaje.
What a slow donkey !!!Ila pdf sio fair tuna wilaya zaidi ya 120 Tanzania zote mkianza Ku display ajira za watendaji itakuaje?
Kiuhalisia hata kusema zinawekwa database sio kweli.
Kuishushia Hadhi portal ndo maana BOT,TRA,EWURA,TPDC,TPA hawaonekani tena ajira portals siku hizi
Mlifeli ukiona ivyoIla utumishi.
Watu tumepambana interview mwaka jana Oktoba, 2023 hadi oral tukafika.
Cha ajabu nafasi tulizofanyia nterview szimetangazwa tena from tamisemi. Je inamana database haifanyi kazi?
Ila utumishi, ila Tanzania.
sometime nikikumbuka nilivyojibu kwenye interview nguvu ya kuchungulia pdf inaisha.mungu tu achezee mifumo nijione
Hongera sana God is good all the timeAlhamdulilah! NAMI nimefanikiwa kulamba asali Leo.
Shukrani za dhati kwa Mwifwa ,mfwende sawadogo na wengine wote tuliokuwa tunapeana moyo hapa jukwaani
Hongera sana sanaNdugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
Hii tunWambia kila leo vijana humu soma soma kaza kaza utumishi ili upate ajari hakikisha umetoboa kwenda oral! Utumishi interview ngumu ni written!Kuna kauli inasema hakikisha umefika oral, ina maana sana hii uchukue itawasaidia
Pengine kuna wenzio walijibu vizuri zaidi yako usivunjike moyo mkuu! Zidi kupambana shukuru Mungu kwa kila hatua!Kaka mwifa mimi mbona nilijibu vizuri tena yote matano na example juu cha kushangaza sijaitwa hata kazini sasa mnavyosema ikifika oral ndo kazi mm na kuwa siielew hii.
Kada yangu ;AFYA
Amen asante naamini siku yangu ipo na yajaPengine kuna wenzio walijibu vizuri zaidi yako usivunjike moyo mkuu! Zidi kupambana shukuru Mungu kwa kila hatua!
TRC njaa kali sana kama halmashauriKuna furaha flani unapewa offer imeandikwa permanent and pensionable .
Jana tumemaliza induction kozi leo
Tupo tunasubili HQ.Trc post letter tukaanze kazi.
Usikate tamaa, siku moja mungu atakukumbuka.